Enzi zangu nikiwa mpangaji nilikuwa nalipa umeme halafu mwezi mzima sipo Home...Swala mda mwingi sipo na matumizi ya wanaoshinda hapo ni makubwa mno....kiasi kwamba inapokuja kwenye contribution inakua kiasi kikubwa!!
Ndo nipo katika harakat za ujenziJenga nyumba yako mkuu
Kila la kheri mkuuNdo nipo katika harakat za ujenzi
Jenga nyumba yako mkuu
Huu ushauri nimeupenda mkuu nataka niwe nafungua mda wote na pasi naichomeka nikitaka kulala mpaka ahsubuhi naitoaHakikisha unaporudi fungulia maji kama masaa 3 na umeme uwe unawaka unapotoka asbh, pesa yako utalipa kihalali.
Utaunguza nyumba ya watu [emoji23]Huu ushauri nimeupenda mkuu nataka niwe nafungua mda wote na pasi naichomeka nikitaka kulala mpaka ahsubuhi naitoa
Sasa nifanyeje maana nataka niwapandishie bili mpaka kila mmoja ikitoka ashtuke na umeme uishe haraka[emoji23]Utaunguza nyumba ya watu [emoji23]
Nimecheka kwa sauti *****Hakikisha unaporudi fungulia maji kama masaa 3 na umeme uwe unawaka unapotoka asbh, pesa yako utalipa kihalali.