JAMANI NIFANYEJE???

JAMANI NIFANYEJE???

Swala mda mwingi sipo na matumizi ya wanaoshinda hapo ni makubwa mno....kiasi kwamba inapokuja kwenye contribution inakua kiasi kikubwa!!
Enzi zangu nikiwa mpangaji nilikuwa nalipa umeme halafu mwezi mzima sipo Home...
 
Hakikisha unaporudi fungulia maji kama masaa 3 na umeme uwe unawaka unapotoka asbh, pesa yako utalipa kihalali.
Huu ushauri nimeupenda mkuu nataka niwe nafungua mda wote na pasi naichomeka nikitaka kulala mpaka ahsubuhi naitoa
 
kwahiyo yani wewe shughuli zako zoote zinaishia bar hata zile za night hutoki yani. Ouk kikubwa ni ujenge yako tu
 
Back
Top Bottom