Shaaban Haufi
Member
- Apr 18, 2014
- 75
- 10
Naitwa shaaban Haufi mhitimu wa kidato cha nne 2013(SHULE YA KATA),nikiwa bado O-Level,ndoto zangu ilikuwa kuhakikisha nasoma kwa bidii hadi nifaulu Kuendelea na masomo advance-university,hatimae nimefaulu vizuri CSEE Kwa kuscore DIV-II-18.
masomo ya GEOG&MATHS Niliyapenda sana nikiwa bado shule ya msingi, hivyo katika ujazaji wa sel-form nilifanya uchaguzi wa EGM(PUGU BOYS) Kama 1st priority combination.
nashukuru mungu Si athumani Geog-B,B/Maths-B+.Swali langu kwenu,je nikifaulu vizuri form6 nikaendelea chuo kikuu naweza kufanya kazi gani hapo baadae?according to subjects listed above?