Jamani nikisoma EGM Naweza kufanya kazi gani hapo baadae??

Jamani nikisoma EGM Naweza kufanya kazi gani hapo baadae??

Shaaban Haufi

Member
Joined
Apr 18, 2014
Posts
75
Reaction score
10
Naitwa shaaban Haufi mhitimu wa kidato cha nne 2013(SHULE YA KATA),nikiwa bado O-Level,ndoto zangu ilikuwa kuhakikisha nasoma kwa bidii hadi nifaulu Kuendelea na masomo advance-university,hatimae nimefaulu vizuri CSEE Kwa kuscore DIV-II-18.
masomo ya GEOG&MATHS Niliyapenda sana nikiwa bado shule ya msingi, hivyo katika ujazaji wa sel-form nilifanya uchaguzi wa EGM(PUGU BOYS) Kama 1st priority combination.
nashukuru mungu Si athumani Geog-B,B/Maths-B+.Swali langu kwenu,je nikifaulu vizuri form6 nikaendelea chuo kikuu naweza kufanya kazi gani hapo baadae?according to subjects listed above?
 
Soma tu kwanza asee uji tune kwenye mawazo ya kujiajiri japo najua mtaji ndo tatizo lingine
degree zimejaa mtaani ila kazi hakuna....
 
Dogo kazini huajiriwa kwa Combination yako ya EGM, wanaangalia Course yako ya chuo,
 
Kwani chuoni unataka kusomea fani gani? Fani utakayosomea University
 
Naitwa shaaban Haufi mhitimu wa kidato cha nne 2013(SHULE YA KATA),nikiwa bado O-Level,ndoto zangu ilikuwa kuhakikisha nasoma kwa bidii hadi nifaulu Kuendelea na masomo advance-university,hatimae nimefaulu vizuri CSEE Kwa kuscore DIV-II-18.
masomo ya GEOG&MATHS Niliyapenda sana nikiwa bado shule ya msingi, hivyo katika ujazaji wa sel-form nilifanya uchaguzi wa EGM(PUGU BOYS) Kama 1st priority combination.
nashukuru mungu Si athumani Geog-B,B/Maths-B+.Swali langu kwenu,je nikifaulu vizuri form6 nikaendelea chuo kikuu naweza kufanya kazi gani hapo baadae?according to subjects listed above?

Kama huna vision, basi ni wakati mwafaka kutafakari future yako (Wewe ni mtu mzima sasa) Fikiri unataka kufanya nini katika maisha yako? unataka kuwa nani? Kwa nini? Vitu hivi vitakupa hamasa ya kusoma unachotaka kukisoma na utaweka juhudi ya ziada. Usifanye maamuzi bila kujua direction. Maisha usipoyapa direction yatakupeleka kokote ambako labda ni kuzuri au kubaya, itegemee. Just take time Think the future beforehand and then Decide. Kama unapata ugumu kufanya hivo peke yako, njoo jukwaani tukupe yetu machache labda yatakusaidia.
 
Unamaana hakuna kazi nyingine zaidi ya kuwa mwalimu wa hesabu?

Naamini umesoma Probability,ukisoma (bachelor of mathematics) hii kitu probability ya kuwa Mwalimu wa hesabu ni 1. Kazi zingine 0.5,,0.O1 n.k
 
Back
Top Bottom