Jamani nimeachwa ndugu zangu, nisaidieni maisha yangu yapo ukingoni

Montare

Member
Joined
Jun 8, 2014
Posts
49
Reaction score
7
WanaJF ndugu yenu nilikuwa na tabia ya kuchepuka na nikawa na wapenzi wa 4 wote marafiki pasipo wao kujijua kwa muda mmoja,

Bahati mbaya tangu mwezi jana walianza kushtukia na hatimaye leo nimeachwa ndugu zangu,

Tangu mchana nilipoachwa sijala chakula hadi muda huu, nahisi kufa ndugu zangu.

Nisahaurini jamani nipo serious ntaangamia wakuu nina hali mbaya sana.
 
Mh! nakataa.
 
tena kafie uyole hili ni jukwaa la kujenga familia na si kupromote wazinzi.
 
Umenyimwa hata mshipa wa haya umejileta hapa kabisaa kuomba ushauri kabisa what nonsense!You got what you deserved!
 
Kama vip Nina Ndugu yangu pale muhimbili akuekee jokofuuuuu!!!! Na jeneza la sh ngapi ? Fasta fanya
 
Kufa utakufa tu usijali ila kapime ngoma kwanza ili ufe mara mbili.
 
Nishushe kwenye hili daladala lako...
 
Kufa kabisa mzinifu wewe. Huna aibu unatembea na wanawake 4 tena marafiki. Ningekuwa mmoja wao ningekuwekea sumu ya panya. Hivi ukiwa nao kwa zamu huwa unawaita majina gani ya kimahaba?? Mnafiki kufa tu. Ngoja na mabinti zako watatendewa hivi hivi kwa laana zako.
 
Dunia hii wanakufa watu wa maana yanabaki ma bazazi kama hili kufa kabisa .. .....
 

Mbona ulipokuwa unawagegeda hukuomba ushauri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…