Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TANMO atatoa sanda
Mimi nitatoa jeneza
Dinazarde amechukua tenda ya chakula
miss chagga naomba utusaidie maturubai
badiebey kwenye kikundi chenu hakuna mikeka hata tukodi? nadhani @janjaweed atatusaidia kamchango cha mikeka
kyukyu na team yako kachimbeni kaburi
Paroko @eiya utatusaidia kusalisha wakati tukimuhitaji
dada Snow White kachukua tenda ya sare za wafiwa
mama Kongosho na wanakwaya wenzako tunaomba utusaidie mapambio
charminglady usiruhusu mtu apige picha, hiko ni kitengo chako wewe na tayta
Mods mnakaribishwa sana msibani kadi zenu anazo CYBERTEQ
Mweeeee, nina dera langu jipyaaaaa, nlikuwa sijui ntalivalia wapi....sasa kabla hujafa nipm unielekeze kwenu nije kuuza nyago msibani miee...
Halafu jitahidi ufe wikend bhana watu tujiachie msibani kuanzia asubuhi hadi jioni.....!
ninayotayari mkuu tunayafikisha wapi?
What am I reading?
Mie tena mama misosi...mtakula hadi msahau kama mpo msibaniii.
KemeWewe ni ME au KE??????