inspector laddy
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 761
- 258
WanaJF ndugu yenu nilikuwa na tabia ya kuchepuka na nikawa na wapenzi wa 4 wote marafiki pasipo wao kujijua kwa muda mmoja, bahati mbaya tangu mwezi jana walianza kushtukia na hatimaye leo nimeachwa ndugu zangu, tangu mchana nilipoachwa sijala chakula hadi muda huu, nahisi kufa ndugu zangu.
Nisahaurini jamani nipo serious ntaangamia wakuu nina hali mbaya sana.
nyie ndio wale kuku mnaokuja kuharibu JFWanaJF ndugu yenu nilikuwa na tabia ya kuchepuka na nikawa na wapenzi wa 4 wote marafiki pasipo wao kujijua kwa muda mmoja, bahati mbaya tangu mwezi jana walianza kushtukia na hatimaye leo nimeachwa ndugu zangu, tangu mchana nilipoachwa sijala chakula hadi muda huu, nahisi kufa ndugu zangu.
Nisahaurini jamani nipo serious ntaangamia wakuu nina hali mbaya sana.
TANMO atatoa sandanajitolea kusimamia daftar la rambirambi
why uyoletena kafie uyole hili ni jukwaa la kujenga familia na si kupromote wazinzi.