Jamani nimeachwa ndugu zangu, nisaidieni maisha yangu yapo ukingoni

Yupi anaekuumiza roho hadi uwe hoi au ni wote
 
Mweeeee, nina dera langu jipyaaaaa, nlikuwa sijui ntalivalia wapi....sasa kabla hujafa nipm unielekeze kwenu nije kuuza nyago msibani miee...
Halafu jitahidi ufe wikend bhana watu tujiachie msibani kuanzia asubuhi hadi jioni.....!
 
ninayotayari mkuu tunayafikisha wapi?
 
Mweeeee, nina dera langu jipyaaaaa, nlikuwa sijui ntalivalia wapi....sasa kabla hujafa nipm unielekeze kwenu nije kuuza nyago msibani miee...
Halafu jitahidi ufe wikend bhana watu tujiachie msibani kuanzia asubuhi hadi jioni.....!

Hahahaaaaa. mie pia ntaenda usiniache.
 
wakati unawachanganya wenziio hukuwaza kuna kufa???
yan we ni tindiga kweli ulizani hayana mwisho hayo???
ulivyo mjinga wa mwisho unajisifia na kujisifia et wa4/marafiki

kufa salama nenda na urudi kutuambia kunafananaje huko
 
mtaka yote kwa pupa hukosa yote,ulipofanya hayo hukujua sikumoja utawakosa wote? kuwa na subira utawapata wanaopenda michepuko kama ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…