Jamani nimebahatika kupata mil 30, nianzishe mradi gani utakaonitoa mazima?

Jamani nimebahatika kupata mil 30, nianzishe mradi gani utakaonitoa mazima?

kiongozi njoo kwy biashara ya boda, tenga M.15 harafu M 15 iloyobaki kaweke kwy fixed akaunt kwa miezi sita. Angalizo biashara ya boda ila kwa mkataba in changamoto zake km ilivyo kwa biashara nyingine. kwa maelezo zaidi ni PM nikupe maelekezo zaidi.
 
Wadau kuna kampuni imenilipa fidia ya sh mil 30. Kulitokea nini na ilikuwaje mpk nikalipwa fidia hii? Nisingependa kuiongelea.

Ombi langu kwenu ni kwamba naombeni ushauri na uzoefu wenu wa kuiendeleza fedha hii ili nisije rudi tena kwenye umaskini wa kukosa milo 2 kwa siku.

Naomba kuwasilisha.

ANGALIZO: Tusileke mizaha na utani tafadhali.
Jaribu biashara ya chakula. Tafuta location nzuri, mpishi mzuri sana, na pawe pasafi sana. Utauza chakula na fauda utapata. Anza na biashara ndogo. Million 30 ni hela ndogo sana. Na hata sass unavyokuna kichws inaendelea kuishia. Kujenga nyumba za biashafa au kukodi zitakazokulipa HAITOSHI HATA KIDOGO. Utaishia njiani na hela itaisha na mijengo haitakurudishia hata senti sababu itakuws haijaisha kabisa.
 
Back
Top Bottom