Jamani nimechoka kuachika na wanaume

Pole sana.

Mng'ang'anie tu. Akitaka kukuacha mwambie haachwi mtu hapa, kashavunja kikombe anakinunua tu, mng'ang'anie tu.

Umenikumbusha kuna binti aling'ang'ania mtu kila akitaka kuachwa anajitoa akili anang'ang'ania tu.
Mkuu asi kutane na bingwa wa kukataa sasa
 
✍️✍️✍️ mim ni mbobez mzuri wa mahusuano........ WANAWAKE weng waanaachika Kwa Sabab kuu Moja....... KIBURI iliyopitiliza......... DHARAU Kwa MWANAUME wake......kuwa na uwezo mdg wa kuona mbali KIMAISHA .....hapa utamkuta ana TAMAAA NA MAISHA YA ANASA........ means mume anaona kabsa huyu ni liability na sio asset.........MWISHO kabsa utakuta Wanawake wengi ni wagonjwa wa FUNGUS na P.I.D unakuta UCHI imejaaa shombo za samaki na harufu Kali hapo MWANAUME lazima akimbie mwenyew......Kwa ushauri zaid njoo inbox tutayajenga vxr
 
Dua mhimu,lkn na we pia badilika, maana ukishindwa kumbadilisha mwenzio,badilika wewe.
 
Kuna mmojΓ  kama utaweza kuvumilia ukidai haki yako ya ndoa a aanza kupigia ndugu zake na mama yake eti hili janajike linanisumbua, kwahiyo anataka mkae hivi hivi, vipi utaweza ni msomi lakini nazani huyu ndiye ungeenda naye Kwa sheih πŸ˜‰
 
Ukiona ushapita na wengi na wote wamekuacha fahamu ya kuwa wewe ndyo mwenye tatizo. Na usipojirekebisha hata huyo wa sasa atakula atasepa.
 
Pole sana.

Mng'ang'anie tu. Akitaka kukuacha mwambie haachwi mtu hapa, kashavunja kikombe anakinunua tu, mng'ang'anie tu.

Umenikumbusha kuna binti aling'ang'ania mtu kila akitaka kuachwa anajitoa akili anang'ang'ania tu.
Amkabidhi kwa Mungu pia, atamsaidia
 
Nyongeza: Pia hawa viumbe wakijua mapungufu yako,na hata ukipitia kwenye hali ngumu, wanakudharau wanakuona boya na mshamba... yaani huna lolote.

Wewe mwanamke usithubutu kumdharau mmeo.. wanaume hatupendi wanawake wenye maneno mengi..
 
Nadhani umemaliza mkuu.. huu ujumbe umfikie mlengwa πŸ“Œ

πŸ“Œ
 

Hata usomewe dua kama unakero utaachwa tu!!

Tafuta watu wa pembeni wanaokujua wakushauri, mara nyingi unakuta wao wanazijua weakness zako wewe ila wewe hujijui!!

Nina ndugu, tatizo yeye mdomo bwana anaachika kila leo ila ndiyo vile kazuri sana kanaolewa fasta ila wanaume wanamkimbia sababu ya mdomo. Akikupiga maneno yake usipolia we kidume!!
 
Una tabia chafu, Si ajabu kuona umelelewa na Mama tu
 
1. Acha tabia ya kuongea ongea sana kuropoka, kua msikilizaji zaidi
2. Kua msafi, oga mara 3 kwa siku, piga mswaki mara 2 kwa siku, jipulizie manukato, vaa vizuri na upendeze muda wote
3. Usiwe desperate jua thamani yako, mwanamke kaumbiwa kuringa, kudeka deka, jishushe ufanyiwe vitu sio kila kitu unafanya wewe hadi kuweka bulb, kusogeza kitanda, kuua mijusi na mende, teh teh

Mengine uje inbox nikufunde
 
Ngamia Wangu Nimemuombea Dua Tusiishie Njiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…