Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Mkuu asi kutane na bingwa wa kukataa sasaPole sana.
Mng'ang'anie tu. Akitaka kukuacha mwambie haachwi mtu hapa, kashavunja kikombe anakinunua tu, mng'ang'anie tu.
Umenikumbusha kuna binti aling'ang'ania mtu kila akitaka kuachwa anajitoa akili anang'ang'ania tu.