Jamani nisaidieni dawa viroboto vimeingia ndani kwangu

Nisaidie namna ya kuitumia vizuri boss, tafadhali.
Ila kama ni ndani ya nyumba unayolala tumia dawa ya mbu aina ya shenke,hii ni dawa ya kidonge Cha pembe nne inauzwa box moja lenye tembe 30 kwa sh 1500-2000, choma dawa hii Kwa nyumba ya vyumba vinne waweza tumia tembe 5 Kwa Kila room kama tatizo ni kubwa,hutawaona,

Dawa hii inauwa mende,mbu na mijusi,Kuna kipindi nyuki walivamia nyumba yangu nikachoma dawa hii ,nyuki walikufa kama sisimizi
 
Ahsante mkuu kwa hio vidonge vitano kwa chumba kimoja?
 
Hama nyumba, funga milango na madirisha uwaachie viroboto waishi humo.

Wewe nenda ukweni ukawasalimie likizo ya KUSHTUKIZA.

Uvamizi unajibiwa kaa namna mbili tu, KUPIGANA au KUKIMBIA.

Jeshi la viroboto ni THE BRUTAL FORCE TO BE RECKONED WITH, kimbia haraka watakuua. Kajifiche kwa mama mkwe.
Sasa unataka apeleke viroboto kwa mama mkwe?
 
Hama nyumba, funga milango na madirisha uwaachie viroboto waishi humo.

Wewe nenda ukweni ukawasalimie likizo ya KUSHTUKIZA.

Uvamizi unajibiwa kwa namna mbili tu, KUPIGANA au KUKIMBIA.

Jeshi la viroboto ni THE BRUTAL FORCE TO BE RECKONED WITH, kimbia haraka watakuua. Kajifiche kwa mama mkwe.

Cc: njumu za kosovo Lamomy cocastic Poor Brain Extrovert Mbaga Jr mshamba_hachekwi Mzee wa kupambania dronedrake Depal Kapeace Dejane Yohimbe bark
Hivi mnajua hii michango humu kuna watu huwa wanasoma/watasoma na kunufaika nayo??
 
Back
Top Bottom