Jamani nisaidieni dawa viroboto vimeingia ndani kwangu

Nisaidie namna ya kuitumia vizuri boss, tafadhali.
Ila kama ni ndani ya nyumba unayolala tumia dawa ya mbu aina ya shenke,hii ni dawa ya kidonge Cha pembe nne inauzwa box moja lenye tembe 30 kwa sh 1500-2000, choma dawa hii Kwa nyumba ya vyumba vinne waweza tumia tembe 5 Kwa Kila room kama tatizo ni kubwa,hutawaona,


Dawa hii inauwa mende,mbu na mijusi,Kuna kipindi nyuki walivamia nyumba yangu nikachoma dawa hii ,nyuki walikufa kama sisimizi
 
Ahsante mkuu kwa hio vidonge vitano kwa chumba kimoja?
 
Sasa unataka apeleke viroboto kwa mama mkwe?
 
Hivi mnajua hii michango humu kuna watu huwa wanasoma/watasoma na kunufaika nayo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…