Jamani nisaidieni kazi yoyote!!!

JF kiboko. siku mbili tu kapata kazi. Hongereni.
 

You are welcome. Ila usiache kuja JF baada ya kupata kazi. Endelea kuwa active member. JF kuna mambo mengi sana mazuri na ya kukujenga kila siku zaidi hata ya kupata kazi.
 

Karibu sana!

Nafurahi ulinielewa, furahia kazi yako mpya na uweke bidii taifa letu changa linahitaji wachapa kazi. Kemea ufisadi hapo ulipo kuna usemi wa kisukuma charity starts at home.

Mas
 
Hi Sary..! See, If at first you don't succeed, destroy all evidence that you ever tried! So wait your time will come and God will grant you a good job of your profesion.Keep on sending applications,unanisome eeh?
 
Tunahitajika kudeliver sio kuonyesha A zilizopangwa kwenye vyeti.
Muhimu ni kumsaidia muhusika kama chance ya kufanya hivyo ipo.Haya mambo ya kutaka kuonekana kipanga kwenye sehemu isiyostahili wala haitusaidii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…