Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Hongera kwa kuwa muwazi. njoo kigoma kazi zipo zinatafuta wafanyakazi.
kazi gani tena hio mbona hazitangazwi????????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwa kuwa muwazi. njoo kigoma kazi zipo zinatafuta wafanyakazi.
Ndugu zanguni ninafuraha kuwapata taarifa kuwa nimefanikiwa kupata kazi katika manisipaa moja nchini kama Afisa maendeleo ya mji.Hivyo wote mliojitokeza na kunitia moyo kweli nashukuru sana.Pia nashukuru kwa michango yenu mizuri milokuwa mnachangia ili kuhakikisha kilio changu kinatatuliwa.
Kwa kweli ni furaha isiyo nakifani.
Pia napenda kuchukuwa nafasi hii pia kumuomba msamaha ndugu yangu masanilo kwa kumkwaza na kumdisaapoint kwa jibu nililompa la kutomtumia picha.Kwa kweli sikujua kama siku hizi kama kuna watu wanafanya uhuni wa namna hiyo kwamba mtu anaitwa John kwenye interview halafu anaenda Abdallah.Lakini kwa kifupi hakuna kilichoharabika kikubwa nawatakia kazi njema na moyo kama huu mliouonyesha kwangu uendelee hata kwa watu wengine.
Mungu ibariki Tanzania mungu ibariki JF na wanachama wake wote kuanzia ngazi ya member mpaka ya JF expert member.
Yours
Sarah
Masanilo poleeeeeee!!.![]()

Tunahitajika kudeliver sio kuonyesha A zilizopangwa kwenye vyeti.unamaanisha nini kwenye kufeli?
hivi wewe ni graduate kweli japo wa cheti?
mtu anaposema ana advanced diploma mkononi anamaanisha amefaulu ndo maana ana cheti mkononi, kwa taarifa yako kama hujui ni kwamba huwezi kutunukiwa 'kugraduate' kama hujafaulu mitihani yako yote!!.
upo hapo mkuu??
siku hizi kwa taarifa yako watu au waajiri hawaangalii magamba (vyeti) coz watu wanafoji sanaaa, so wanaangalia ujuzi na uzoefu tu.
so don mind about kiwango cha kufaulu mkuu, wewe unaweza kua na GPA yako ya 4.5 na mie nna ya 3.7 nikapata kazi wewe ukakosa. zile zama za soma sana ufaulu upate kazi siku hizi are not applicable.
ni skills na experience tu.
nawasilisha.![]()