Mimi nimsichana wa miaka 27 nimemaliza advanced diploma katika chuo cha mipango Dodoma,
Wakuu niemelekezwa nije huku nijiregsiter na kueleleza yote niniliyo nayo naweza saidiwa.
Kifupi mimi ndo mtoto wa kwanza kwenye familia ya watoto wawili wote tukiwa wakike.baba yetu alifariki mwaka 2003 nikiwa bado nasoema certificate hapohapo dodoma,kwa bahati nimeweza maliza salama.
Baada ya kumaliza nimejitahidi kutafuta kazi inayohusiana na nilichokisomea lakini nimeambulia patupu,kwa kweli sina jinsi ila kwa kuwa nimesoma ninauhakika kazi yoyote naweza ifanya.
Hivyo waku nisaidieni. hapa niinapoaandika ni internet cafe nimelipia one hour tu.