Jamani nisaidieni kazi yoyote!!!

Jamani nisaidieni kazi yoyote!!!

sary

Member
Joined
Sep 8, 2009
Posts
8
Reaction score
0
Mimi nimsichana wa miaka 27 nimemaliza advanced diploma katika chuo cha mipango Dodoma,

Wakuu niemelekezwa nije huku nijiregsiter na kueleleza yote niniliyo nayo naweza saidiwa.

Kifupi mimi ndo mtoto wa kwanza kwenye familia ya watoto wawili wote tukiwa wakike.baba yetu alifariki mwaka 2003 nikiwa bado nasoema certificate hapohapo dodoma,kwa bahati nimeweza maliza salama.

Baada ya kumaliza nimejitahidi kutafuta kazi inayohusiana na nilichokisomea lakini nimeambulia patupu,kwa kweli sina jinsi ila kwa kuwa nimesoma ninauhakika kazi yoyote naweza ifanya.

Hivyo waku nisaidieni. hapa niinapoaandika ni internet cafe nimelipia one hour tu.
 
Mimi nimsichana wa miaka 27 nimemaliza advanced diploma katika chuo cha mipango Dodoma,

too general bibie, specify adv dip ya nini?, kuna mwenzako hapa alisoma chuo sijui cha misitu sijui nyuki moshi huko amepata deal hapa hapa!.
toa maelezo full, waungwana watakupa michongo tuu!!.
 
Naam mwanzo mgumu siku zote,ila usikate tamaa,fanya kama ulivyoshauriwa na mdau hapo juu.
 
too general bibie, specify adv dip ya nini?, kuna mwenzako hapa alisoma chuo sijui cha misitu sijui nyuki moshi huko amepata deal hapa hapa!.
toa maelezo full, waungwana watakupa michongo tuu!!.

Asante kwa ushauri wako na samahani kwa kuwa too general.Advanced diploma ya Regiona planning ndo niliyosomea.
 
Naam mwanzo mgumu siku zote,ila usikate tamaa,fanya kama ulivyoshauriwa na mdau hapo juu.

Umetupa kazi ya kufikiria umesomea ADvanced diploma ya kitu gani ili tukiona vacancy in that area tukuPM. Please shed us some more light.
 
Umetupa kazi ya kufikiria umesomea ADvanced diploma ya kitu gani ili tukiona vacancy in that area tukuPM. Please shed us some more light.

mkuu ameshajibu hapo juu kuwa kasomea advanced diploma ya Regional Planning,pia kama kichwa cha habari kilivyojieleza ni kwamba yeye kazi yoyote inaweza kumfaa kwa kuwa hana jinsi na anaweza kukopy na mazingira kama nitakuwa nimemwelewa vizuri mkuu.
 
Tuma results zako tucheck utafit sehemu gani tukupigie mapande kwa wanene............Umesema kazi yoyote,hata kazi za ndani uko tayari?Bring more details usaidiwe shostito.
''Mvimilivu hula mbivu....ila mvundika mbivu hula mbovu''
 
Tuma results zako tucheck utafit sehemu gani tukupigie mapande kwa wanene............Umesema kazi yoyote,hata kazi za ndani uko tayari? Bring more details usaidiwe shostito.
''Mvimilivu hula mbivu....ila mvundika mbivu hula mbovu''

kua siriazi mkuu,
mwenzako anahitaji kazi we unaleta masikhara hapa,
aaaarrrgggggh.
 
we huoni heading yake mkuu.......watu hawafanyi kazi kwa kuangalia walichosomea....
''Mvumilivu hula mbivu.....ila mvundika mbivu hula mbovu''
kua siriazi mkuu,
mwenzako anahitaji kazi we unaleta masikhara hapa,
aaaarrrgggggh.
 
we huoni heading yake mkuu.......

acha hizo mkuu,
mtu kusema kazi yoyote hamaanishi yoyote as yoyote hata kazi za ndani au kufagia barabara, imagine mtu ana adv diploma
watu hawafanyi kazi kwa kuangalia walichosomea....
huyo bibie amesema bahati mbaya alisahau kutoa kozi aliyosomea.
hivyo mfano mtu akisomea mfano kozi ya uhasibu then akisema anataka kazi yoyote anamaanisha labda cashier, accountant, mweka hazina, etc (mtanisahisha wadau wa BCom!) sio kwa kua kasema kazi yoyote basi umpeleke kwenye kazi za Civil Engineering wapi na wapi!.
 
acha hizo mkuu,
mtu kusema kazi yoyote hamaanishi yoyote as yoyote hata kazi za ndani au kufagia barabara, imagine mtu ana adv diploma

huyo bibie amesema bahati mbaya alisahau kutoa kozi aliyosomea.
hivyo mfano mtu akisomea mfano kozi ya uhasibu then akisema anataka kazi yoyote anamaanisha labda cashier, accountant, mweka hazina, etc (mtanisahisha wadau wa BCom!) sio kwa kua kasema kazi yoyote basi umpeleke kwenye kazi za Civil Engineering wapi na wapi!.

asante shemuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!
 
kama atakuwa amefeli utamsaidia vp kaka,si unajua competetion ilivyo kwa sasa?

kama atakuwa amefeli utamsaidia vp kaka...

unamaanisha nini kwenye kufeli?
hivi wewe ni graduate kweli japo wa cheti?
mtu anaposema ana advanced diploma mkononi anamaanisha amefaulu ndo maana ana cheti mkononi, kwa taarifa yako kama hujui ni kwamba huwezi kutunukiwa 'kugraduate' kama hujafaulu mitihani yako yote!!.
upo hapo mkuu??

si unajua competetion ilivyo kwa sasa?
siku hizi kwa taarifa yako watu au waajiri hawaangalii magamba (vyeti) coz watu wanafoji sanaaa, so wanaangalia ujuzi na uzoefu tu.
so don mind about kiwango cha kufaulu mkuu, wewe unaweza kua na GPA yako ya 4.5 na mie nna ya 3.7 nikapata kazi wewe ukakosa. zile zama za soma sana ufaulu upate kazi siku hizi are not applicable.
ni skills na experience tu.

nawasilisha.
icon10.gif
 
asante shemuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!

aaaaah, shemu upo, mbona kimya sana bana?. umeadimika kama meno ya kuku au miguu ya nyoka!! hahahaaa teh tehe teeeeh
icon10.gif

asee wifi yako anakusalimia sana!!
icon10.gif
 
Hivyo waku nisaidieni. hapa niinapoaandika ni internet cafe nimelipia one hour tu.
Okay, usijali hata kama hiyo one hour imeshapita na uko offline kwa sasa. Ukirudi online angalia katika PM, kuna job post nimeiona mahali na nimekuwekea huko.
 
Asante kwa ushauri wako na samahani kwa kuwa too general.Advanced diploma ya Regiona planning ndo niliyosomea.

I just want to expand a little bit on this. Infact this is a multidisciplinary program and she can do a variety of jobs my dear JF buddies.There is a growing lack of educated urban and regional planners, who are able to undertake analytical and design activities on local to national scale and implement sustainable development. They may formulate plans relating to the construction of new school buildings, public housing, or other kinds of infrastructure. Planners also may help to make decisions about developing resources and protecting ecologically sensitive regions. Some planners are involved in environmental issues including pollution control, wetland preservation, forest conservation, and the location of new landfills. Planners also may help to draft legislation on environmental, social, and economic issues, such as planning a new park, sheltering the homeless, or making the region more attractive to businesses. Urban and regional planners often confer with land developers, civic leaders, and public officials and may function as mediators in community disputes, presenting alternatives that are acceptable to opposing parties. Planners may prepare material for community relations programs, speak at civic meetings, and appear before legislative committees and elected officials to explain and defend their proposals. Kwa hiyo anaweza kufanya kazi nyingi sana pamoja na IT,Conservation,Business,Community Development,Social work,Microfinance,etc in Local Government, Central Government as well as the private sector. Good luck dada.
 
Bint

NiPM CV yako ukiambatanisha na picha kuna jamaa najuana nao ofisi ya mipango pale!
 
Bint

NiPM CV yako ukiambatanisha na picha kuna jamaa najuana nao ofisi ya mipango pale!

Masa si ungesema tu akutumie picha yake mchezo uishe!! Hata mimi naitamani sijui ataniPm.
 
kama atakuwa amefeli utamsaidia vp kaka,si unajua competetion ilivyo kwa sasa?

Kwani wote wanaofanya kazi wamepass masomo bwana? kama ni hivyo basi maofisini/makazini kungekuwa na vipanga watupu, vilaza wasingekuwepo. Kila kazi ina madaraja kulingana na matakwa ya kazi husika.Mfano kwenye masuala ya pesa kuna ambao kazi yao kukata risiti tu, wengine kuandika malipo, wengine kuandaa bajeti n.k. Wewe kama unakazi mpatie ,ndio maana amesema kazi yoyote kulingana na uwezo wake atafanya, ili mradi usimdharirishe. Kama huna uwezo wa kumsaidia ni uuchune tu ndugu!!!
 
Back
Top Bottom