Jamani Nisaidieni Mbinu za Kutenganisha Wanandoa!!!

Hata kama nikijiweka haisaidii coz jamaa anaonekana hampi CARE za kutosha na anajua HAPENDWI ila kalazimisha ndoa!!
KAma ukifanikiwa kumtoa kwa mumewe, una uhakika gani kama na wewe hayatakukuta?? akitokea mwingine amrubuni, una uhakika gani kama hatakuacha kama alivyomuacha mumewe wa ndoa?

In sshort huyo mdada hana mapenzi ya kweli hata kidogo angekuwa nayo asingekubali kuolewa in the first place
 

ni nini tena jamani kwanini kupotea hivyo
 
ENG.SMASHER jamaniiiiii rudisha sura yako ya zamani mana ulikuwa sex na dental ile wow nimeimishii alot
 
BIG THANKS Mkubwa wewe ndo uliyetoa Point utafikiri umelala nami kichwani mwangu!
1. Jamaa anmkubali Binti sana 2 ingawa hana CARE ambayo Binti anahitaji kutoka mumewe!
2. Ana nia thabiti na yupo tayari kwa lolote coz ananipa data zote za jamaa na mipango 2napanga wote!
3. Yap hapo umenena ngoja nichat nae nimuulize jamaa ana hasira level gan!
Poa hapa zoezi lazima liendelee coz "THERE Z NO FAILURE EXCEPT IN NO LONGER TRYING"

 
Alikubali kuolewa kulinda heshima ya wazazi wake coz alifikia hatua anasema NIFANYE CHOCHOTE ili ndoa isifungwe!!
Lakini kila 2lilokuwa 2nafanya 2nawafikiria wazazi coz ilifikia ha2a ya kwenda church kupinga but REASON siri yangu!!

 
Tatizo mabinti wa humu waliongeza uthumbufu coz nilivokuwa HB!!
Kila m2 jaman Eng. hiyo dental,thijui MUNGU aliniumba siku aliyokuwa na u2livu sana!!!

ENG.SMASHER jamaniiiiii rudisha sura yako ya zamani mana ulikuwa sex na dental ile wow nimeimishii alot
 
Wazo nililokuja nalo leo baada ya kufikiria jana usiku mzima ni KUMTOROSHA au KUMTIA MIMBA!!!
Jamani JF nipe comment zenu which z GUD IDEA??
 
Rose1980, umefanya vyema kumpa ushauri wa bure huyu ndugu, inaonekana akili yake imefungwa na katika hicho kifungo anaona yeye mshindi, kwa taarifa yake hata atakapokamilisha lengo lake la kumsogeza huyo dada kwake ajue wazi wenzie wataendela kutumia ( hasa huyo jamaa mwenye pesa ) maana huyo mdada si mwanifu kwa viapo vyake.
 
Wapendwa Mpeni atakacho, hajaomba ushauri as ni sahihi or not, yeye ataka maelekezo jinsi gani aachanishe wana ndoa........then afterwards akifanikiwa ataomba msaada wa lingine.....

Salaam
 
Tulijaribu kila njia ikashindikana hadi hiyo ya kumvika PETE ya uchumba lakini jamaa akavika juu yake ya NDOA!!
Pls nisaidieni hizo mbinu!!

"When I am afraid, I will trust in you ( Lord)" Ps 56:3

Mbinu hiyo hapo juu. signature yako....
 
Kama unavyommega ndivyo wengine watakavyommega ukiamua kumuoa! Achana na uzinzi, keshaolewa tafuta wako. Unajisifia uibilisi!
 
We kiboko mkuu!!
Ila i think you have done enough on your part now its her turn to show her initiatives maana kumtorosha kwa upeo wangu unaweza kwenda jela.(for the husband courtesy he can put the word out and inmates can do the necessary...)
amwambie mumewe kuwa hampendi na anataka talaka yake.
 
Nimejiandaa kwa kila ki2 mtu wangu!!
Namtorosha and then 2naanza kudai talaka akiwa kwangu!!!

 

ni hapo utakapomuoa bomani akawa mkeo na jamaa nae anaendelea kuchapa kama kawa. inakuwa bila bila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…