MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
KAma ukifanikiwa kumtoa kwa mumewe, una uhakika gani kama na wewe hayatakukuta?? akitokea mwingine amrubuni, una uhakika gani kama hatakuacha kama alivyomuacha mumewe wa ndoa?Hata kama nikijiweka haisaidii coz jamaa anaonekana hampi CARE za kutosha na anajua HAPENDWI ila kalazimisha ndoa!!
In sshort huyo mdada hana mapenzi ya kweli hata kidogo angekuwa nayo asingekubali kuolewa in the first place