DZEKO_10
Member
- May 23, 2023
- 12
- 24
Hello guys samahani mimi ni kijana miaka 23 nipo chuo mwaka wa pili UDSM, nilikua na mwanamke wangu ambae tumedumu kwa miaka takribani 7 sasa tangu form 2, mwaka jana nilimpatia ujauzito kwa mwanzo niliutumikia fresh japo tupo mbali me nipo dar ye yupo msoma, shida ni kwamba kuna mda life likanipiga kiasi kwamba nikashindw kumudu na likanipiga wakati ambao yeye anahitaji msaada sana na suala la mimba hakuwa amewambia wazazi wake alikua anafahm yy tu,maana hakai kwao ameajiliwa msoma hapo sasa wadau....
Mwanamke alipoanza kuona anauhitaji then me simsaidii akaona kama nimemsusia na hivo kwakua yuko mbali akajenga akilini mwake kuwa nadet na wadada wa chuo nimemtelekezea mimba,nakula bata sana kitu ambacho sifanyi for sure yaani
Kwa navyompenda nakumuheshimu angejua!! Daah mimba ilitegemewa kuzaliwa mwezi wa tano kati ya tarehe 17 hadi 23,mwaka huu sa kuna siku akanambia kuwa kwakua simsaidii hata akijifungua hatonambia wala hatotaka nimwobe mtoto for sure nilijaribu kumwelekeza akagoma.
Na mawasiliano yakawa hakuna kabisa kweli nikaa kimya sasa mpk juzi tarehe 1 june machale yakawa yananicheza sana ikabidi nikawa namwazia ikabid nimtafte nimuulize anaendeleaje, but cm hakua nayo yy alikua nayo rafk ake nikacht kidogo na shem ake sa kwa jinsi nilivochat nae shem lake ndo akanitumia sms zilizoniacha njia panda nikashindwa kuelewa kama mimba ametoa,au mama mtu amefariki au ameshajifungua.
Jana usiku mungu saidia akanitafta mwenyewe watsap
"Mambo"
Me; Poa then
Mama mtu: Jina gani la mtoto wa kiume unalolipenda
Me; na majina mengi ngoja niyafatilie kiundani nifahamu maana zake
Mama mtu;poa usiku mwema.
Leo sasa tarehe 3 jumamosi nimemtafta ili nimpe jina nalolipenda nilibahatika kupata majina mawili tu,ili achague moja..nikamchek watsap maana alikua online.
Asee nikamtumia jina akasema nimelioenda jina fulani.
Baada akanitumia pics 2 na video 1 vilivonitoa machozi wadau maana amenitumia picha ya mtoto na video alomrekodi daah..nikakosa cha kusema maana leo ni wiki ya pili toka ajifungue ndo amenijulisha ati..na amesema nimuone kwenye picha tu hataki hata nikamwne mtoto wala hataki kuongea na mm akifai nimemtelekza but sikuwaza hivo kabsa yan.
Nampenda ila kwa alipofikia na maneno alinambia I'm near to die real,kabla sijafanya maamuzi yoyote yale ambayo yanaweza kuwa batili kwangu na kwake pia naombeni kama kuna mwenye ushauri anipee wa kujenga sio wa kubomoa asee.
Kasema mtoto hata niende kwa nani simpati kweli? Sasa kauli zake ndio zinazifanya nifikilie kuchukua hatua ambazo sio sahihi na hatua hizo ni za kutugharimu wote mm na yeye. nisaidieni