Jamani nisaidieni real story imenikuta leo hii sasa hisia zitaushinda mwili, maamuzi yatakua magumu mno


Ufanye nini sasa? Ila. Naona shetani anakunyemelea, achana na miemko
 
Kuliko ujidhuru kisa masuala madogo tu haya si Bora ukapore Benki ukifumwa basi,maana tatizo hapa ni pesa.Mimi ninakama watatu wa hivi wanadai watoto ntawaskia kwenye Bomba,Well fuvk it
 
Sioni Cha kukuumiza hapo,hujakataa mtoto we tulia bhana
 
Kasema mtoto hata niende kwa nani simpati kweli? Sasa kauli zake ndio zinazifanya nifikilie kuchukua hatua ambazo sio sahihi na hatua hizo ni za kutugharimu wote mm na yeye. nisaidieni

Kwamba unataka kujiua na kuua mama na mtoto?

Acha hayo mawazo...
 
Jiue mwanangu umkomoe, mwanamke jinga sana huyu alah
 
Kaka mbona last time kuonana ulinambia una mpango wa kumchukua masters ukimaliza degree? Vp unataka kuahirisha malengo yako kisa huyo mdada?

Unakumbuka kipindi tukiwa advance alikufanyia nn?

Ntakupigia tuongeee usichukue maamuzi yeyote
 
Mtu kutoka kanda ya ziwa, tena kanda maalumu anashindwa ku handle vijimambo kama hivi
 
Soma Wacha ujinga ujinga dogo...unawaza ujinga, kichwa kimejaa ujinga ujinga! Stupid kabisa..unataka ujiue sasa au?! Kuwa na ngozi na roho ngumu wewe mtoto wa kiume!! Kama mtoto ni wako ni wako hata akikuzuia kumuona, mtoto akikua atakutafuta mwenyewe...na unaweza kuzaa watoto hata 100 ukitaka,ushindwe mwenyewe tu! Get serious
 
Kama unataka kujinyonga tumia kama ya katani alafu nenda kajinyongee msituni
 
Soma kijana achana na mambo ya watoto,ukiwa sawa watakuja tu ,acha upumbavu ,huyo mtoto atakuwa tu, na kama ni wa kwako utampata tu.stay cool
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…