Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi akili za ki ccm
Vichwa vyao vya kuku ndio mana wamesahau kama hii ni chitchatyaan watu wenye akili fupi walivyo soma tu heading wakajua watakutana na waliyo yawaza hawajui kua hii ni chitchat
Ndio maanaBirthday September Mosi 1995 age 21
ivi shule zimefungwa??Asikwambie mtu NYUMA rahaaa...
Wacha nipasifie nisipo pasifia nani tena mwenye kujua utamu wa hapo NYUMA? Nyuma utamu bwana!!
Ngoja nikudokeze utamu wa nyuma najua hadi na wewe utatamani nyuma daah...
Kwanza kabisa hapo NYUMA soda ilikua sh 250, sukari robo sh 150,mafuta ya taa sh 100, pipi sh 5
daah...!!! Maisha gani yatakuja kuwa kama enzi za nyuma?
😀😀😀 kama nakuona ulivyo waza mbali.
wenzio tumekunywa soda sh20 ada ya shule sh 200. soda 250 si juzi tuAsikwambie mtu NYUMA rahaaa...