Jamani Nyuma raha...!!!

Jamani Nyuma raha...!!!

Hizi akili za ki ccm

Nakushauri uwe unatumia akili kufikiri kabla ya kuchangia au sijui umekula majani?
uchangiaji wako kwenye hii mada unatia simanzi?
Mungu akusamehe kwani hujui ulisemalo....naamini itakuwa ni nguvu ya kitu kingine kilichoko kichwani mwako!
 
Asikwambie mtu NYUMA rahaaa...
Wacha nipasifie nisipo pasifia nani tena mwenye kujua utamu wa hapo NYUMA? Nyuma utamu bwana!!
Ngoja nikudokeze utamu wa nyuma najua hadi na wewe utatamani nyuma daah...
Kwanza kabisa hapo NYUMA soda ilikua sh 250, sukari robo sh 150,mafuta ya taa sh 100, pipi sh 5
daah...!!! Maisha gani yatakuja kuwa kama enzi za nyuma?
😀😀😀 kama nakuona ulivyo waza mbali.
ivi shule zimefungwa??
 
wenzio tumekunywa soda sh20 ada ya shule sh 200. soda 250 si juzi tu
 
Back
Top Bottom