Jamani Rais Muogope Mungu! Ajira mil 6 zimezalishwa kweli?

kagoshima

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
3,528
Reaction score
6,856
Nina madogo watano, wote wana degree na nimewasomesha mwenyewe. Wote wapo mtaani hawana ajira.

Huyu mmoja ana degree ya ualim, kaamua kulima bustani.. Je hii ndo ajira ulioitengeneza?

Mwingine degree ya HR kabahatika kaolewa ,je hiyo ndo ajira mnazo zungumzia?

Huyu mwingine bachelor of education pia. Kafungua kimgahawa hapa mtaani, je nahii ni miongoni mwa hizo ajira ?

Nilikutana na kijana mmoja akanitambua ,mie sikumtambua ni graduate wa bachelor of science in education . Anauza matunda kwenye genge.

Ni sector gani zimezalisha hizo ajira mil 6. Zimeajiri watu kutoka wapi. Kwanini tunadanganywa sana hivi?

Vinginevyo naomba tuambiwe hizo ajira mil 6 zimeanzishwa sector zipi? Zimeajiri kina nani. Un employed graduates Tz hawafiki mil moja. Mbona wamejazana mitaani pasipo ajira?
 
Tupatie Mafiga Matatu Rais, Mbunge, Diwani
 
Poleni sana wote ambao mmekuwa disappointed
 
Nina madogo watano, wote wana degree na nimewasomesha mwenyewe. Wote wapo mtaani hawana ajira.

Huyu mmoja ana degree ya ualim, kaamua kulima bustani.. Je hii ndo ajira ulioitengeneza?

Mwingine degree ya HR kabahatika kaolewa ,je hiyo ndo ajira mnazo zungumzia?

Huyu mwingine bachelor of education pia. Kafungua kimgahawa hapa mtaani, je nahii ni miongoni mwa hizo ajira ?

Nilikutana na kijana mmoja akanitambua ,mie sikumtambua ni graduate wa bachelor of science in education . Anauza matunda kwenye genge.

Ni sector gani zimezalisha hizo ajira mil 6. Zimeajiri watu kutoka wapi. Kwanini tunadanganywa sana hivi?

Vinginevyo naomba tuambiwe hizo ajira mil 6 zimeanzishwa sector zipi? Zimeajiri kina nani. Un employed graduates Tz hawafiki mil moja. Mbona wamejazana mitaani pasipo ajira?
hahaha !mkuu huyu bwana ni muongo balaaa,kimsingi alochoweza ni kuwanunua chadema kwa asilimia 100%

Sent from my itel A11 using JamiiForums mobile app
 
Mimi sijasikiliza hotuba yake hivyo sijui alivyosema ajira 6M alimaanisha kivipi, labda alimaanisha ameboresha sera na kuwezesha kupatikana mikopo hivyo ni kawezesha kujiajiri. Ila kama ni ajira as in, cheti na usaili 6M vijana wengi tusingekua humu jf tukipigana vikumbo kwenye jukwaa la ajira.
 
Hiyo nafasi inaitaji watu wasiozidi 7 lakini ona waliotuma zaidi ya 6000 TRA na hapo hakuna mwalimu aliyetuma maombi, hadi sasa nashangaa hizo ajira million 6 zimetokea wapi. Au sijui anatumia kikokotoo gani kupata hizo namba
Screenshot_20200701-202124_Gallery.jpeg
 
Kwa kweli anatisha kwa udanganyifu!

Watu wanaopika pika data ni hatari sana.
 
Ajira Zipo Tele Tutanunua Ndege Za Mizigo
 
Jiwe muongo sana, kama angesema kaua ajira m6 hapo ningeelewa
 
Back
Top Bottom