Jamani shilingi yetu inashuka balaa dhidi ya dolla ya Marekani

Anayekwambia kuwa uchumi unapaa,na huku anaelewa wazi kuwa wewe huna mabawa,ni sawa na mwanariadha anayemwambi kiwete "tukimbizane kama ukinishika nakupa magongo ya kutembelea"!!!
 
Huo mchele au sembe huwa unaletwa na Miguu..
 
Umeandika kipumbavu sana mkuu

sent from my BlackBerry keyone using JamiiForums mobile app
 
Izo takwimu za uongo ndio zilizomponza Mh. Zitto zuberi Kabwe
 
Nilitaka kushangaa imepandaje faster namna hii
Mpaka kufikia 2500
Unajua JF siyo ya GT tena unaweza ukaleta taarifa yoyote tu hata haina haina uhakika na mods wakakuacha tu. Ninavyojua realible source ni Benki za hapa TZ na wala si google wala Yahoo!
 
Hiyo kama tunaweza kuuza bidhaa nje hii ni neema kwetu.na kama hatuna uwezo huo wa kuuza nje hii kwetu ni madhara makubwa nchini
Tuuze nini sasa, Masogange mwenyewe ndio huyo wanamsakama sidhani hata kama anapata nafasi ya kusafiri nje.
 
Acha ishuke mkuu labla ndiyo lengo la Tanzania yetu ya viwanda.
 
hakuna bei 2202 tzs ndio bei yake ya kuuza ,
 
Siku hizi hadi babukijana polepole ni mchumi, ataitisha press conference kukanusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…