Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaHa BoT ziko za zamaniTuwekee hapa exchange rates ya leo according to BOT.
Huo mchele au sembe huwa unaletwa na Miguu..Haina madhara kwa Masikini kama wewe...!
Kwanza huna hata akiba ya Pesa Benki, mshahara wote wa October umekwisha lipia Madeni...!
Dola ya Kimarekani, imewahi kuwa sawa na Shilingi mia moja ya Tanganyika...!!
Umepata Madhira gani Kiuchumi mpaka sasa.
Shukuru Mchele na Sembe ama Ngano, vingali na bei ileile...!
Nilitaka kushangaa imepandaje faster namna hiihii ni exchange rate kutoka B. O. T![]()
Umeandika kipumbavu sana mkuuHaina madhara kwa Masikini kama wewe...!
Kwanza huna hata akiba ya Pesa Benki, mshahara wote wa October umekwisha lipia Madeni...!
Dola ya Kimarekani, imewahi kuwa sawa na Shilingi mia moja ya Tanganyika...!!
Umepata Madhira gani Kiuchumi mpaka sasa.
Shukuru Mchele na Sembe ama Ngano, vingali na bei ileile...!
Unajua JF siyo ya GT tena unaweza ukaleta taarifa yoyote tu hata haina haina uhakika na mods wakakuacha tu. Ninavyojua realible source ni Benki za hapa TZ na wala si google wala Yahoo!Nilitaka kushangaa imepandaje faster namna hii
Mpaka kufikia 2500
Tuuze nini sasa, Masogange mwenyewe ndio huyo wanamsakama sidhani hata kama anapata nafasi ya kusafiri nje.Hiyo kama tunaweza kuuza bidhaa nje hii ni neema kwetu.na kama hatuna uwezo huo wa kuuza nje hii kwetu ni madhara makubwa nchini
Safi sana mkuuwww.bot.go.tz
Ingia bot kuuza ni tshs 2,225.52 na kununua ni tshs 2,247