Uchochezi upo wapiMleta UZI ni mchochezi,akichukuliwa hatua aanze kulaumu serikali
Uchumi sio siasa kusema kila mtu anaingia. Kama ujasoma uchumi uwezi kueleza hali ya uchumi wa nchi. Na kingine ivi vitu ni sayansi na mathematical issues. Uwezi lazimisha kwamba maduka ya kubadilishia Pesa yamefanya rate ya kubadilisha kuwa ivyo, kuna maduka mengi yanabadilisha kwa Pesa nzuri. Hata katika bank nyingi zina rate nzuri. Fungueni account za Dollars, Great Sterling pounds, au Euro upate unafuu wa bei, sio kulia lia
Unajidanganya sana wewe ,,, tena sana mambo yapo wazi kbs inamaana leo google wamekosea mbona zamani ilikuwa the same kwa Google na huku, usilete siasa hapaUnajua JF siyo ya GT tena unaweza ukaleta taarifa yoyote tu hata haina haina uhakika na mods wakakuacha tu. Ninavyojua realible source ni Benki za hapa TZ na wala si google wala Yahoo!
Nashukuru sana Jamii Forum.Nafikiri kulikuwa na makosa Imerekebishwa na sasa ipo kati ya 2,240-2,250 kwa Usd 1.
Lakini tujiulize kuna hujuma na pesa yetu?
Serikali ichukue hatua hili linatuhusu wote watanzania.
HaswaaaWatakuwa ni wale Matapeli wa Forex Trading (Wazee wa "Kudanlodi" mahela) hapa/hapo wanataka KUVUNA Mafaida....!![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji115] [emoji115]