Uchochezi upo wapiMleta UZI ni mchochezi,akichukuliwa hatua aanze kulaumu serikali
Uchumi sio siasa kusema kila mtu anaingia. Kama ujasoma uchumi uwezi kueleza hali ya uchumi wa nchi. Na kingine ivi vitu ni sayansi na mathematical issues. Uwezi lazimisha kwamba maduka ya kubadilishia Pesa yamefanya rate ya kubadilisha kuwa ivyo, kuna maduka mengi yanabadilisha kwa Pesa nzuri. Hata katika bank nyingi zina rate nzuri. Fungueni account za Dollars, Great Sterling pounds, au Euro upate unafuu wa bei, sio kulia lia