Jamani shilingi yetu inashuka balaa dhidi ya dolla ya Marekani

Jamani shilingi yetu inashuka balaa dhidi ya dolla ya Marekani

Mleta UZI ni mchochezi,akichukuliwa hatua aanze kulaumu serikali
Uchochezi upo wapi
Uchumi sio siasa kusema kila mtu anaingia. Kama ujasoma uchumi uwezi kueleza hali ya uchumi wa nchi. Na kingine ivi vitu ni sayansi na mathematical issues. Uwezi lazimisha kwamba maduka ya kubadilishia Pesa yamefanya rate ya kubadilisha kuwa ivyo, kuna maduka mengi yanabadilisha kwa Pesa nzuri. Hata katika bank nyingi zina rate nzuri. Fungueni account za Dollars, Great Sterling pounds, au Euro upate unafuu wa bei, sio kulia lia
 
Unajua JF siyo ya GT tena unaweza ukaleta taarifa yoyote tu hata haina haina uhakika na mods wakakuacha tu. Ninavyojua realible source ni Benki za hapa TZ na wala si google wala Yahoo!
Unajidanganya sana wewe ,,, tena sana mambo yapo wazi kbs inamaana leo google wamekosea mbona zamani ilikuwa the same kwa Google na huku, usilete siasa hapa
 
Nafikiri kulikuwa na makosa Imerekebishwa na sasa ipo kati ya 2,240-2,250 kwa Usd 1.

Lakini tujiulize kuna hujuma na pesa yetu?

Serikali ichukue hatua hili linatuhusu wote watanzania.
Nashukuru sana Jamii Forum.
Jamii Forum ni nembo ya Tanzania. Maana vijana wengi wamekuwa wanapaza SAUTI sana. Na tunaweza kuelewa kila kitu kinachoendelea katika Tanzania na dunia nzima kwa ujumla, kwa iyo Taasisi za serikali zisione kaaama zinafatilia michongo yao
 
Back
Top Bottom