macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Unaonekana una tatizo la kupenda kwa pupa au kudhani unapenda kumbe umetamani. Nijuavyo kupenda kwa kweli hakuji kwa haraka. Kupenda kwa kweli kunakuja baada ya kuzoeana na mtu na kumuelewa kwa undani tabia, nyendo, hobbies nk. NB: Umesema hutamani bali huwa unapenda na hata kusema naweza kumuoa. Mimi nakataa. Wewe huwa unatamani muonekano wake na baadae pengine anapokuwa amechuka kidogo au umeshamzoea zile tamaa zinaisha. Nakushauri uwe una deal na tabia zaidi kuliko muonekano.Hahaha hamna mkuu sio utoto yani ndio hivyo basi labda ni kwangu mimi tu ndio napitia haya wenzngu mko stable