Jamani sijajua kuwa hili tatizo au kitu gani, sijui ni kwangu tu au tupo wengi wanaume wa hivi?

Hahaha hamna mkuu sio utoto yani ndio hivyo basi labda ni kwangu mimi tu ndio napitia haya wenzngu mko stable
Unaonekana una tatizo la kupenda kwa pupa au kudhani unapenda kumbe umetamani. Nijuavyo kupenda kwa kweli hakuji kwa haraka. Kupenda kwa kweli kunakuja baada ya kuzoeana na mtu na kumuelewa kwa undani tabia, nyendo, hobbies nk. NB: Umesema hutamani bali huwa unapenda na hata kusema naweza kumuoa. Mimi nakataa. Wewe huwa unatamani muonekano wake na baadae pengine anapokuwa amechuka kidogo au umeshamzoea zile tamaa zinaisha. Nakushauri uwe una deal na tabia zaidi kuliko muonekano.
 
Politely spoken,,,,nimependa ulivyonishauri na huenda unachosema ni cha kwel nami labda sikujua kuwa nimetamani nikadhani nmependa
 
Uwaga inatokea mzee..Ila kwangu uwaga nikipata chimbo jipya Basi ujue la Zaman ata kma nilimpenda kias gan uwa upendo unapungua.. though true love nilikua nayo kwa mwanamke wa kwanza kudate nae and tulishaachana way back bt still I feel it...🤸
 
Back
Top Bottom