katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Leo nimefurahia sana kituko kimetokea maeneo fulani nikaribu mastendi ya hapo na kwetu.
Mudada alizoea kupewa lift na jamaa inavyosemekana kila siku asubuhi kama miezi mitatu hivi anakuja kwa huyo dada na pia amelala naye mara kibao akizani ni tajiri.
Imepita miezi kama minne na huyu jamaa haji tena kwa msichana na wala hampi lift.
LEO MIDA YA SAA 11
Ameshuka kwenyw kidaladala akaona lile gari akalikimbilia julius julius subiri kwa maana lilipaki mbele ya haice aliyokuwepo ndani yake halafu ilimshusha msichana .
Kushuka nakuita kwa sauti..
Gari ikasimimama ila sio yeye ni mtu mwingine kuhojiana yule alikuwa dereva na yupo off kwa leo .
Dar wadada tuweni makini wengine nivibarua tujipende kwani gari shillingi ngapi