Jamani sisi wadada na magari tupunguze

Jamani sisi wadada na magari tupunguze

Tatizo kuna wanawake wanajirahisisha sana acha wachezewe tu yaani mtu anajishusha thamani anatoa mzigo kisa lifti ya gari? Yaani hata kama ingekuwa ni lifti ya ndege mimi eti mwanaume aniombe mzigo kisa kanipa lifti hayo majibu ambayo ningempa asingeamini masikio yake
Jadda huwa nawaza wewe ni mbabe Sana!
 
Wanawake wengi hata ukiwa na STK wanachanganyikiwa
Hawana muda wa kusoma au kutofautisha namba (T na STK au DFP au SU). Wao wakiona gari tu wanajua la kwako.

Ila sasa ajabu yale ya namba PT wanajua kuyasoma🤣😂
 
Tatizo kuna wanawake wanajirahisisha sana acha wachezewe tu yaani mtu anajishusha thamani anatoa mzigo kisa lifti ya gari? Yaani hata kama ingekuwa ni lifti ya ndege mimi eti mwanaume aniombe mzigo kisa kanipa lifti hayo majibu ambayo ningempa asingeamini masikio yake
Lazima angeamini tu atafanyaje sasa na umeshampa vipande vyake🤣
 
Tatizo kuna wanawake wanajirahisisha sana acha wachezewe tu yaani mtu anajishusha thamani anatoa mzigo kisa lifti ya gari? Yaani hata kama ingekuwa ni lifti ya ndege mimi eti mwanaume aniombe mzigo kisa kanipa lifti hayo majibu ambayo ningempa asingeamini masikio yake
Mhm na wewe acha ukorofi😁
 
Back
Top Bottom