Jamani sisi wadada na magari tupunguze

Jamani sisi wadada na magari tupunguze

Tatizo kuna wanawake wanajirahisisha sana acha wachezewe tu yaani mtu anajishusha thamani anatoa mzigo kisa lifti ya gari? Yaani hata kama ingekuwa ni lifti ya ndege mimi eti mwanaume aniombe mzigo kisa kanipa lifti hayo majibu ambayo ningempa asingeamini masikio yake
Edelyn hujakutana na mtoa sound makini akiwa ameweka mkono kwenye usukani. Mzigo utautoa kwa kasi ya bombardier.
 
Edelyn hujakutana na mtoa sound makini akiwa ameweka mkono kwenye usukani. Mzigo utautoa kwa kasi ya bombardier.
Wanawake wanaodanganyika na hizo sound ni wale wenye tamaa wasiojua tabia za wanaume ila kwa sisi tunaojua tabia za wanaume utafikiri tumewazaa huwa tunajua tu hapa hana lolote mwache aendelee kupigia mbuzi gitaa kwa kifupi mimi siwezi kutoa mzigo kwa sababu yoyote ile isipokuwa kwa mapenzi yangu mwenyewe
 
Sisi tunaoendesha trekta mbona huwa hatupewi mizigo?, au sisi hatusimami kwenye mataa. Wanawake acheni double standard
 
Wewe usidanganyike na maneno...angalia vitendo....yaani kuna tofauti kubwa sana ukiwa na gari unawavua chupi utakavyo hadi raha jamani. Dah waendelee tuu kuyapenda magari ili tuwagegede vizuri na mjini bila mkoko hupati mrembo mzuri.
Woiii kwanza inategemeana na gari yenyewe😂😂
Sina gariii,sina byc ila kuna magari yanatia homa tu na muonekano Wake
 
Tatizo kuna wanawake wanajirahisisha sana acha wachezewe tu yaani mtu anajishusha thamani anatoa mzigo kisa lifti ya gari? Yaani hata kama ingekuwa ni lifti ya ndege mimi eti mwanaume aniombe mzigo kisa kanipa lifti hayo majibu ambayo ningempa asingeamini masikio yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani mimi ningesema nitafute wanaume wenye magari basi hata hao wenye Kluger na Harrier bado ningewadharau maana kwangu mimi naona hizo gari hata wenye pesa za kawaida wanaweza kuzimiliki achilia mbali wenye Vits na Passo hao ndo kabisa hata salamu zao nisingekuwa najibu mimi ningewatafuta wale wenye Range Rover na Land Cruiser tena new models siyo old models sema basi tu ni vile kwangu mapenzi siyo magari
Unawatafta au wanakutafta, mfno kama mim unaanzia wapi kunitafta, ukijilengesha tuu tayari wewe nakuweka kundi la changudoa na unakuwa hauna thamani kwangu tena.
 
Leo nimefurahia sana kituko kimetokea maeneo fulani nikaribu mastendi ya hapo na kwetu.
Mudada alizoea kupewa lift na jamaa inavyosemekana kila siku asubuhi kama miezi mitatu hivi anakuja kwa huyo dada na pia amelala naye mara kibao akizani ni tajiri.
Imepita miezi kama minne na huyu jamaa haji tena kwa msichana na wala hampi lift.
LEO MIDA YA SAA 11
Ameshuka kwenyw kidaladala akaona lile gari akalikimbilia julius julius subiri kwa maana lilipaki mbele ya haice aliyokuwepo ndani yake halafu ilimshusha msichana .
Kushuka nakuita kwa sauti..
Gari ikasimimama ila sio yeye ni mtu mwingine kuhojiana yule alikuwa dereva na yupo off kwa leo .
Dar wadada tuweni makini wengine nivibarua tujipende kwani gari shillingi ngapi
Hahaha
 
Back
Top Bottom