Jamani sisi wadada na magari tupunguze

Jamani sisi wadada na magari tupunguze

Tatizo kuna wanawake wanajirahisisha sana acha wachezewe tu yaani mtu anajishusha thamani anatoa mzigo kisa lifti ya gari? Yaani hata kama ingekuwa ni lifti ya ndege mimi eti mwanaume aniombe mzigo kisa kanipa lifti hayo majibu ambayo ningempa asingeamini masikio yake
Naomba nikuoee
 
Mwanamke ataki kujua umiliki wa gari wala nn ye anataka gari zuri basi kadi ina jina la nani watajua wenyewe
 
In what context?
Wewe binti,
Mimi ni mtu ninaeamini katika uanaume wangu,
Naamini mila na desturi za uanaume tangu uumbaji...
Mwanamke atabaki kuwa mwanamke,
Mwanaume anauwezo zaidi ya mwanamke....

Ushanielewa sasa?
 
Nilikuwaga sipendi zamani ila baada ya kupata mwanaume mmoja masikini halafu mshenzi ndipo nikajua kumbe wanaume wote ni wale wale tu sasa bora na mimi nitafute wenye pesa ili hata wakinipotezea muda wangu na mimi nimewapotezea pesa zao japo mimi siwezi kumuomba mwanaume pesa sijui kwanini
Sawa sawa
 
Wewe binti,
Mimi ni mtu ninaeamini katika uanaume wangu,
Naamini mila na desturi za uanaume tangu uumbaji...
Mwanamke atabaki kuwa mwanamke,
Mwanaume anauwezo zaidi ya mwanamke....

Ushanielewa sasa?
Na unaamini kuwa mwanaume akifanya maovu kama vile kumsaliti na kumpiga mke wake anatakiwa asamehewe na avumiliwe ila mwanamke akifanya maovu kama vile kumsaliti na kumdharau mume wake anatakiwa apigwe, asalitiwe, aachwe au aongezewe mke?
 
Hapana,
 
Back
Top Bottom