Jamani sisi wadada na magari tupunguze

Unaposema kitu uwe unakimaanisha.. Huko kunaitwa kupumua huku umevaa headphones
 
Ni kuwatandika mijegeje hadi mfumuke mishono hiyo dadadeq!
 
pole kwa yaliyokukuta.
 
Nahis huyo dada niwew,..maana uko detailed sanaaa
 
Wadada wanaujinga sana kuhusu mtu kumiliki gari....
 
Wanawake wengi wanapenda sana gari na ukiwa na gari unampata kirahisi.

Nakumbuka wakati nimemaliza school, nilikuwa sina ramani.
Nikimtongoza mwanamke akazingua, nilikuwa nikimpa promise ya kumtoa out akakubali tu. Nakwenda kumchukua kwa gari la brother; mara nyingi mtoko wetu uliishia lodges.

Hata sasa wengi wapo hivyo.
 
Tufanye kazi, tununue yetu tuwape wao lift!

Hivi hakuna drivers wanawake?!
Naomba ajira hiyo, mie mwaminifu sana!
 
Nyie hata gari ikiwa branded mwili mzima (VODA, AIRTEL, TIGO, TTCL etc) mnakwendaga na maji tu..... Nahisi nyoka alimwambia kitu EVA kuhusu magari....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…