Dooh nimekaa miez sasa lkn hizo harusi nilizohesabu ambazo naziona na nilizoalikwa hatar
Mmhh hapana aiseee hiv watu wanaosema hakuna wanawake wa kuwaoa au hakuna wanaume wa kuoa mbona huku ndoa kila siku tu
Au ndo kutoa mkosoiii jamn wenyeji hii ni fashion tu au ndo kutoa mkosi alafu mtarud home
Bidada umepotea sanaMmmhh
Nipo ndugu yangu. Wewe ndio umepotea ujue sababu kitambo sana hatuonani. Vp lakini mzima?Bidada umepotea sana
Tanga harusi eti ni kweli!Mmmhh
Hahahaa. Labda Kaka ila sina hakika kama ni za kiwango hicho anachokisema mleta uzi sababu si wajua tena vile dada yako ninavyokaa masafa marefu. [emoji85] [emoji85].Tanga harusi eti ni kweli!
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Si mpaka nikawa na hamu ya kwenda kuziona,Hahahaa. Labda Kaka ila sina hakika kama ni za kiwango hicho anachokisema mleta uzi sababu si wajua tena vile dada yako ninavyokaa masafa marefu. [emoji85] [emoji85].
[emoji2][emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahaa. Usijali Kaka ake. Tutaenda na sie tukayashuhudie kwa macho.Si mpaka nikawa na hamu ya kwenda kuziona,
Itabidi tuende tu maana kule sio bure watu wanapapenda ndo maana kila siku tanga tanga tanga
[emoji23]