Jamani Tanga kwa harusi hapana

Jamani Tanga kwa harusi hapana

khalta

Member
Joined
Oct 21, 2017
Posts
66
Reaction score
123
Dooh nimekaa miez sasa lkn hizo harusi nilizohesabu ambazo naziona na nilizoalikwa hatar

Mmhh hapana aiseee hiv watu wanaosema hakuna wanawake wa kuwaoa au hakuna wanaume wa kuoa mbona huku ndoa kila siku tu
Au ndo kutoa mkosoiii jamn wenyeji hii ni fashion tu au ndo kutoa mkosi alafu mtarud home
 
Angalia na jamii yenyewe, huenda ni katika aina za tamaduni zao

Lakini pia Kumbuka kuwa wanaolalamikia uoaji na uolewaji ni wale waliomo au waliokuwemo, so hawa wapya wana ham ya kuingia na wanafanya hivyo!

Waache waowaneeee!!!
 
Hoja sio uwingi wake ila ni kwa kiasi gani kila mmoja ameishi kwa ukamilifu katika hicho kiapo cha ndoa
 
Hata mm dar wanawake nimekosa nitaenda tanga bac naomba unipokee
 
Hahahaa. Labda Kaka ila sina hakika kama ni za kiwango hicho anachokisema mleta uzi sababu si wajua tena vile dada yako ninavyokaa masafa marefu. [emoji85] [emoji85].

[emoji2][emoji2] [emoji2] [emoji2]
Si mpaka nikawa na hamu ya kwenda kuziona,
Itabidi tuende tu maana kule sio bure watu wanapapenda ndo maana kila siku tanga tanga tanga
[emoji23]
 
Back
Top Bottom