Jamani Tanga kwa harusi hapana

Hahahaa. Labda Kaka ila sina hakika kama ni za kiwango hicho anachokisema mleta uzi sababu si wajua tena vile dada yako ninavyokaa masafa marefu. [emoji85] [emoji85].

[emoji2][emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Ingekuwa wakati wa talaka pia.ni sherehe.tungeona mengi hao wanatoa nuksi tuu.
 
Itabidi name niende Tanga nikaoe
 
Hakuna tofauti na Zanz .... kubwa wanaongoza kuachana pia .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…