Jamani tcu ni zaidi ya majanga ss hivi ingia kwenye profile yako utaaona u have not yet done app.,in

mi mwenyewe mkuu, Nazan ni system failure baadae itakaa poa.
 
Hata mimi pia...loh.. Mwaka huu utakuwa mrefu sana...(leap year??????????????????)....
 
MÂJÀNGÀÀÂ.....!!.Hata mi ni vilevile, jana nilipoingia kwenye my profile ilikuwa uozo mtupu! nawakati jina langu halimo
 
Ebna cha mcngi hapa ni kuu2lia maana ikiendelea hv 2taanza kuchanganyikiwa bna
 
Kuweni wapole hata sisi tulikua na mchecheto lakini mamboi yalikaa sawa
 
hilo ni jambo la kawaida hata msihofu ndugu zangu kilichotokea ni kwamba sasa ndo panel zinaanza kukaa kwa ajili ya kufanya selection so course zenu mlizochagua hamuwezi kuziona kwa sasa ila mara tu process ya selection ikikamilika utaona course uiyochaguliwa na chuo husika..mind u ni hali ya kawaida na usifanye chochote katika profile yako kwa sasa ila unashauriwa uwe unaitembelea mara kwa mara kama kutakuwa na mabadiliko yoyote..
 
Profile yangu imerud kama ilivyokuwa
 

mbona zimerudi vle vle! Hakuna cha kuonyesha selection uliyopangiwaaa! Kwel njia ya muongo ni fupi, naomba mungu na mm niciwe muongo kama mbwiga88! Overr
 
presha punguzeni wadogo zetu mbona bado chuo utapata tu kasheshe mkopo tu
 

ulicho sema kweli mkuu ndio maana kuna mabadiliko kwenye profile kume andikwa processed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…