teacher steven
Member
- Aug 1, 2013
- 14
- 0
Jaribu nawe pia labda ni one of them try it right now!!!!!!!!!!!!!!!!!!!"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakuu hiyo ndo serekali yetu, :disapointed:
Dah mpaka watoe hayo majina me ntakuwa na alcers tayar coz kla saa naiwaza tcu tu
hilo ni jambo la kawaida hata msihofu ndugu zangu kilichotokea ni kwamba sasa ndo panel zinaanza kukaa kwa ajili ya kufanya selection so course zenu mlizochagua hamuwezi kuziona kwa sasa ila mara tu process ya selection ikikamilika utaona course uiyochaguliwa na chuo husika..mind u ni hali ya kawaida na usifanye chochote katika profile yako kwa sasa ila unashauriwa uwe unaitembelea mara kwa mara kama kutakuwa na mabadiliko yoyote..