Jamani this is serious, nchi tajiri za Kiarabu kuwa ombaomba Afrika by 2030

Yaani hata siamini kinachotaka kutokea, hivi huyu mama anafikiria nini kichwani kwake?
Wameenda na Congo leo wamesaini mkataba wa kuingia kwenye sekta ya madini , nakwambia Afrika inakuwa koloni tena we subiri , nchi za subsaharan Afrika akili zipo makalioni
 
Wameenda na Congo leo wamesaini mkataba wa kuingia kwenye sekta ya madini , nakwambia Afrika inakuwa koloni tena we subiri , nchi za subsaharan Afrika akili zipo makalioni
Daah, yaani wameshtuka mapema ili wakifika 2030 ambapo biashara ya mafuta itaondoka na wao watakuwa wameikamata Afrika kama Luba
 
Update: 28/07/2023
Kutumia gari la Sumu ya ukaa London utalipa dollar 30 kwa siku

 
sarakasi hizi hakuna lolote hapo
EV haziwezi take over , siyo kwa sasa kabisa
issue ya batteries(madini ya Lithium) bado ni changamoto
Afrika tutakuwa koloni upya ilikusupply hizo raw material
 
 
 
 
Akili kama zako ndio zinasababisha akina Elon Musk wanakuwa matajiri namba moja duniani, pale unapoacha wewe gap mwenzako ndio ana cover na kupiga mpunga, haya, search mabasi makubwa ya umeme youtube kwanza..
Gari zako za kuchaji watu wanaanza kuzikataa na makampuni makubwa ya magari yanaanza kuyapunguza kwenye mipango yao ya baadae ya uzalishaji
 
Hizo ni hiccups tu, ila njia ndio hiyo, it is the inevitable future
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…