Jamani this is serious, nchi tajiri za Kiarabu kuwa ombaomba Afrika by 2030

Jamani this is serious, nchi tajiri za Kiarabu kuwa ombaomba Afrika by 2030

Wameenda na Congo leo wamesaini mkataba wa kuingia kwenye sekta ya madini , nakwambia Afrika inakuwa koloni tena we subiri , nchi za subsaharan Afrika akili zipo makalioni
Daah, yaani wameshtuka mapema ili wakifika 2030 ambapo biashara ya mafuta itaondoka na wao watakuwa wameikamata Afrika kama Luba
 
Update: 28/07/2023
Kutumia gari la Sumu ya ukaa London utalipa dollar 30 kwa siku

20313812-EA43-422C-AB90-868597E11AA8.jpeg
 
Akili kama zako ndio zinasababisha akina Elon Musk wanakuwa matajiri namba moja duniani, pale unapoacha wewe gap mwenzako ndio ana cover na kupiga mpunga, haya, search mabasi makubwa ya umeme youtube kwanza..
Gari zako za kuchaji watu wanaanza kuzikataa na makampuni makubwa ya magari yanaanza kuyapunguza kwenye mipango yao ya baadae ya uzalishaji
 
Gari zako za kuchaji watu wanaanza kuzikataa na makampuni makubwa ya magari yanaanza kuyapunguza kwenye mipango yao ya baadae ya uzalishaji
Hizo ni hiccups tu, ila njia ndio hiyo, it is the inevitable future
 
Back
Top Bottom