Jamani this is serious, nchi tajiri za Kiarabu kuwa ombaomba Afrika by 2030

Mwandishi naona hujafuatilia sana ulichoandika,au labda una hamu ya ubishi.Waarabu omba omba mbona wapo wengi tu,ila suala la uchumi wao kuanguka eti sababu ya alternative energy sources bado kidogo.Wao wenyewe wamelijua hili mda mrefu ndo maana waka diversify uchumi wao,ivo hawa jamaa sio 'one trick ponny' kama unavyofikilia.Dubai wameibadirisha kuwa mji wa kitalii,wameita mataifa mengine kui nvest ndani ya dubai,na wame invest sna mataifa makubwa kwenye properties,contruction,manufacturing etc.Uk peke ake hawa jamaa ni moja ya wanaomiliki majengo ya biashara ya thamani,na nchi nyngi tajir wao wapo.Wengi wameenda shule za maana,sio wale wa zamani kutuma tu.mtawala wa dubai ambae ni tajiri ka invest sana London,na nchi nyingi za ulaya na America, ana horseracing team 'Godolphin' fuatilia utajua.kwa ufupi, 95% ya Dubai gross domestic product is non oil based! Case closed!.
Kuongezea tu,kama ungefika dubai,,usa au europe na kuona uchumi unavyofanyiwa kazi usingeandika thread yako.
 
Sasa km kipande kimoja cha urani kinazalisha umeme marekani why muhangaike na umeme wa maji?
Uranium inahitaji itumike kwenye kinu cha kufua umeme ambacho bado hatuna na ni ghali na hatari mno ukilinganisha na kujenga bwawa, pia Uranium inapaswa kusafishwa kufikia very high level of purity kwenye centrifuges ambazo hatuna, hiyo ndio sababu. Lakini kukosa meno siyo sababu ya kugawa nyama bure kwa jirani, sijui umenielewa?
 
Mbona umecopy na kupaste kile kile nilichoandika kwenye uzi wangu, hebu soma nini nimeandika kuhusu Dubai, ndio hiki hiki ulichoandika, ila tu umerefusha maelezo bila sababu ya msingi ili kumchosha msomaji. Halafu hatuzungumzi Dubai in Specific, tunazungumzia waarabu, sawa?
 
Binti wa kiarabu naona umekuja kumtetea ubani wako wa kiarabu
Mimi dume la mbegu,usidhani kwavile wewe ni binti basi kila mtu atakua binti kama wewe,

Vipi lakini mumeo toka akupige talaka hajabadili uamuzi wakukurudia?
 
Huna akili wewe,siwezi kupoteza muda kumfahamisha mtu ambaye ni hamnazo.
 
Najua kwamba umeniuliza..., ila ni irrelevant, maana mimi nimezungumzia waarabu sio Dubai, otherwise itakuwa ni kama huo mfano wa mtu azungumzie Tanzania we unazungumzia Kilimanjaro au Dar, utakuwa na akili kweli?
Unaona sasa ulivyo mjinga? unasema umezungumzia waarabu ila sio Dubai!! huko Dubai ni wa Masai? We jamaa ni hasara kubwa sana,kaa chini ujihurumie.
 
Mimi dume la mbegu,usidhani kwavile wewe ni binti basi kila mtu atakua binti kama wewe,

Vipi lakini mumeo toka akupige talaka hajabadili uamuzi wakukurudia?
Wanawake wa kiswahili mkiachwa eda au mkiletewa wake wenza huwa mnapayuka kama madufu.

Eda itaisha lini bibie?
 
Ungejua hata Africa nchi nyingi tuu zina mafuta/fuel mfano akina Gabon, Nigeria, Libya, Algeria, South Sudan, Uganda Congo Republic, . Kwahiyo mafuta tuu yaliyopo Africa hatuna uwezo wa kuyatumia kabisa. Kwahiyo kama ikiwa hivyo soko la mafuta la waarabu litakuepo finished. Lakini pia umeme utakaozalishwa stigliers gorge ni mchache bado Kwa matumizi ya magari . Kwasababu nafikiri bado tunayo Safar ndefu as Africa continet. Kwasababu umeme tuu unaozalishwa Ufaransa pekee ni mkubwa zaidi ya unaozalishwa sub Saharan Africa nzima. Lakini matumizi ya mafuta bado yatarndelea kuhitajika tuu Kwa miaka mingine ijayo.
 
Najaribu kuvuta picha zile gari za kazi, let say Scania V8 nyuma limekula mzigo wa bulldozer linaupeleka field milimani huko halafu eti chuma kama hii iko powered na chaji sio diesel? Sidhani kama huko tunafika 2030 karibu hivo.. Umeme nadhani utaendelea kutumika kwenye baby walker tu mitaa ya town tu
 
Akili kama zako ndio zinasababisha akina Elon Musk wanakuwa matajiri namba moja duniani, pale unapoacha wewe gap mwenzako ndio ana cover na kupiga mpunga, haya, search mabasi makubwa ya umeme youtube kwanza..
 
Akili kama zako ndio zinasababisha akina Elon Musk wanakuwa matajiri namba moja duniani, pale unapoacha wewe gap mwenzako ndio ana cover na kupiga mpunga, haya, search mabasi makubwa ya umeme youtube kwanza..
Sawa sawa elon musk nimekupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…