Jamani this is serious, nchi tajiri za Kiarabu kuwa ombaomba Afrika by 2030

Jamani this is serious, nchi tajiri za Kiarabu kuwa ombaomba Afrika by 2030

Unaota Mchana kweupe Mkuu sahau hilo wazo lako haraka. Mafuta yanayo kazi nyingi sana tofauti na unavyofikiri .hata mitambo ya kufua umeme wa maji bado inataka mafuta.
 
Unaota Mchana kweupe Mkuu sahau hilo wazo lako haraka. Mafuta yanayo kazi nyingi sana tofauti na unavyofikiri .hata mitambo ya kufua umeme wa maji bado inataka mafuta.
Unajua tofauti ya Nishati (fuel) na Vilainishi (Lubricants) ?
 
Kawaida wanafunzi huwa wanakula ada ila wewe wazazi wako au walezi wako walikula ada,
 
Aisee! Yaani mtu badala ya kuwaza kujikwamua yeye kwanza hapo alipokwama anawaza fulani siku za mbeleni atapata tabu!

Huu ni umasikini wa fikra ulio changanyikana na chuki kwa jamii fulani.
 
Yaani sasa hv hata sehemu isiyohusika atatajwa Pombe, kwanini lkn?
 
Unajua tofauti ya Nishati (fuel) na Vilainishi (Lubricants) ?

Mitambo ya kufua umeme yaani power plant kwa lugha ya kigeni ni mitambo inayo weza kufua umeme kwa kutumia nishati mbali mbali kama upepo, mawimbi ya bahari na maji yatelemkayo kwa kasi ni kweli kuwa baadhi ya mitambo hii huwa ina uhitaji wa mafuta yaani fuel kama chanzo chake cha kuzalisha workinput kuna baadh ya mitambo kama turbine ambayo huitaji nguvu kazi ya kiphizikia yaan mechanical power ili kuzalisha umeme hivyo basi si mitambo yote inayo zalisha umeme ina uhitaji mkubwa wa mafuta chukulia mfano mdogo kama dainamo ya baiskeli.
 
mitambo ya kufua umeme yaani power plant kwa lugha ya kigeni ni mitambo inayo weza kufua umeme kwa kutumia nishati mbali mbali kama upepo, mawimbi ya bahari na maji yatelemkayo kwa kasi ni kweli kuwa baadhi ya mitambo hii huwa ina uhitaji wa mafuta yaani fuel kama chanzo chake cha kuzalisha workinput kuna baadh ya mitambo kama turbine ambayo huitaji nguvu kazi ya kiphizikia yaan mechanical power ili kuzalisha umeme hivyo basi si mitambo yote inayo zalisha umeme ina uhitaji mkubwa wa mafuta chukulia mfano mdogo kama dainamo ya baiskeli
Umeelewa mantiki ya mimi kumuuliza hilo swali?
 
Aisee! Yaani mtu badala ya kuwaza kujikwamua yeye kwanza hapo alipokwama anawaza fulani siku za mbeleni atapata tabu!

Huu ni umasikini wa fikra ulio changanyikana na chuki kwa jamii fulani.
Umesoma content za uzi au umesoma heading tu?
 
Umesoma content za uzi au umesoma heading tu?
Ikiuma chomoa,huo ndio ukweli wenyewe,badala ya kujikwamua kwenye matatizo mliyonayo sasa hivi eti mnawaza fulani siku za mbele ataanguka! wake up and live acha ndoto toka usingizini.
 
Mada zako nyingi unajitaidi kuzunguka mbuyu ila maudhui yako unalenga waislam sana na uislam(NADHANI UNAPATA SANA FRAHA KWA HILI) Nikukumbushe tu sijaona dini ilokamilika

Samahani kwa mawazo yangu mkuu. na ukweli nachukia udini na dini yoyote ni utumwa
Kuna Dini imetajwa hapa? Au wewe ndo una udini? Mtu kazungumzia waarabu na mafuta wewe unaleta udini. Unajielewa wewe? Au wewe ni mwarabu? Hivi hamfundishwi kuwa na akili?
 
Ikiuma chomoa,huo ndio ukweli wenyewe,badala ya kujikwamua kwenye matatizo mliyonayo sasa hivi eti mnawaza fulani siku za mbele ataanguka! wake up and live acha ndoto toka usingizini.
Nimetaja SGR na Rufiji hydropower, kwa mtazamo wako, hizo ni juhudi za kujikwamua kwenye matatizo tuliyonayo sasa au ni juhudi za kukufumua marinda? We unaonaje?
 
Nimetaja SGR na Rufiji hydropower, kwa mtazamo wako, hizo ni juhudi za kujikwamua kwenye matatizo tuliyonayo sasa au ni juhudi za kukufumua marinda? We unaonaje?
Siku zote mtu huwaza kile akifanyacho basi na wenzake hufanya kama yeye,nadhani issue ya kufumuliwa marinda ndio kazi yako, ndio maana ukawaza hilo,

Wazazi wako wana hasara kubwa sana.
 
Nimetaja SGR na Rufiji hydropower, kwa mtazamo wako, hizo ni juhudi za kujikwamua kwenye matatizo tuliyonayo sasa au ni juhudi za kukufumua marinda? We unaonaje?
Mnyeo amka acha ndoto za usingizini nyau wewe jikwamue na matatizo yako kwanza ndiyo ufikilie taifa
 
Siku zote mtu huwaza kile akifanyacho basi na wenzake hufanya kama yeye,nadhani issue ya kufumuliwa marinda ndio kazi yako, ndio maana ukawaza hilo,

Wazazi wako wana hasara kubwa sana.
We si ndio ulisema “ikiuma chomoa”? Anyway, nimetaja SGR na Rufiji hydropower, unadhani hizo ni juhudi za kujikwamua kwenye matatizo tuliyonayo au unadhani ni juhudi za nini labda, nini mtazamo wako?
 
We si ndio ulisema “ikiuma chomoa”? Anyway, nimetaja SGR na Rufiji hydropower, unadhani hizo ni juhudi za kujikwamua kwenye matatizo tuliyonayo au unadhani ni juhudi za nini labda, nini mtazamo wako?
Ikiuma chomoa wewe ulielewaje? au ulielewa kutokana na akili yako kuwaza marinda? mimi nilimaanisha usipokubaliana na mimi sio lazima kuendelea kubishana na mimi,

Hizo juhudi mnazofanya unadhani na nchi za Kiarabu wao hawafanyi? Hao unaowaombea dhiki kisa soko la Petrol wanajua kabla ya wewe kutoka usingizini

Ndio maana wameingia kwenye Diversity economic, wana vyanzo mbalimbali vya uchumi,mfano usafiri unaoleta watalii,unajua kua mashirika ya Ndege kama Qatar airways na Emirates ni moja ya mashirika makubwa Duniani? Nchi kama Dubai na Qatar wanajitoa kwenye utegemezi wa uchumi wa mafuta

Wao wana natural resources chache sana (Petrol & Gas) na wamezitumia kujijenga na kuboresha maisha yao,wewe Kapuku endelea kuwaombea njaa wakati wewe umeshindwa kutumia rasilimali ulizonazo.
 
Ikiuma chomoa wewe ulielewaje? au ulielewa kutokana na akili yako kuwaza marinda? mimi nilimaanisha usipokubaliana na mimi sio lazima kuendelea kubishana na mimi,

Hizo juhudi mnazofanya unadhani na nchi za Kiarabu wao hawafanyi? Hao unaowaombea dhiki kisa soko la Petrol wanajua kabla ya wewe kutoka usingizini,
Ndio maana wameingia kwenye Diversity economic, wana vyanzo mbalimbali vya uchumi,mfano usafiri unaoleta watalii,unajua kua mashirika ya Ndege kama Qatar airways na Emirates ni moja ya mashirika makubwa Duniani? Nchi kama Dubai na Qatar wanajitoa kwenye utegemezi wa uchumi wa mafuta,

Wao wana natural resources chache sana (Petrol & Gas) na wamezitumia kujijenga na kuboresha maisha yao,wewe Kapuku endelea kuwaombea njaa wakati wewe umeshindwa kutumia rasilimali ulizonazo.
Hayo mbona mimi sijabisha, wewe umesema tufanye juhudi za kujikwamua ilihali nimeshataja hizo juhudi tunazozifanya, ndio maana nikakuuliza kama umesoma uzi au heading tu, na nikadadisi uelewa wako kwamba hiozo SGR na Rufiji unahisi ni juhudi za nini? Sasa hoja yako ni ipi hapa; kwamba kisa na wao wanafanya juhudickama hizi hivyo hizi za kwetu zinaacha kuwa juhudi, au una maanisha nn?
 
Back
Top Bottom