Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazawa tunaitaka ZANZIBAR yetu wacha kujifarijiNo wonder why jamaa wameshika kasi kuwa Karibu na makoloni Yao ya zamani.
Hizi kelele za kudai Zanzibar itoke katika Muungano Nina uhakika hazitokani na matakwa ya wazawa sasa naanza kukubaliana na wasiwasi wangu nani yupo nyuma ya Hilo jambo.
Mnaitaka muifanyie nini kama sio kuwa koloni la Oman, acha kujitoa ufahamWazawa tunaitaka ZANZIBAR yetu wacha kujifariji
Sasa jibu hoja kama ilivyo na sio kuleta mipasho ya kidemu demu hapa. Mkandarasi kuwa mwarabu inabadilisha vipi hoja kwamba wazalishaji wa kiarabu wa mafuta watakua omba omba wa chakula Afrika baada ya dunia kuanza kutumia magari ya umeme na kuachana na nishati ya mafuta? Kusema hata vifaa vya umeme hutumia mafuta ni sawa na kusema bahari ikianza kukauka tutaujaza kwa kutumia ndoo za kubeba kichwani, absolute bogus shit!
kwann unajiaminisha haitakuja tokea mkuu?ndege nyingi tu ziko kwenye hatua za majaribio zinaruka kwa nishati ya jua (solar)..zipo meli nyingi tu za kirusi zinatembea kwa nguvu ya vinu vya kinyuklia mbona?kama ulikuwa hufahamu manowari (aircraft carriers) nyingi tu za kimarekani zilikuwa zinaendeshwa kwa nguvu toka vinu vya nyuklia..embu soma hii:Haiji kutokea ndege kutumia umeme wa kuchaji na haiji tokea meli kutumia umeme wa kuchaji. matumizi mengine ya mafuta wachangiaji wameshachangia, hata Malori tu sijui itakuaje yasipotumia mafuta
Mafuta ya kuchimbwa yanatengenezewa hadi Mbolea, madawa na vitu vingine vingi sana labda mwenzetu hukusoma Organic chemistry topic ya chemistry ya kidato cha nne au ndio nyie mlichukua michepuo ya arts
kwann unajiaminisha haitakuja tokea mkuu?ndege nyingi tu ziko kwenye hatua za majaribio zinaruka kwa nishati ya jua (solar)..zipo meli nyingi tu za kirusi zinatembea kwa nguvu ya vinu vya kinyuklia mbona?kama ulikuwa hufahamu manowari (aircraft carriers) nyingi tu za kimarekani zilikuwa zinaendeshwa kwa nguvu toka vinu vya nyuklia..embu soma hii:
kuhusu malori kwa sasa kampuni kubwa la kimarekani la magari ya umeme liitwalo Tesla liko njiani kuachia "semintrela" inayoendeshwa kwa kutumia betri za kuchaji. Angalia hapa:![]()
Nuclear-powered cruisers of the United States Navy - Wikipedia
en.wikipedia.org
kila kitu kinawezekana mkuu usiseme never..ni matter ya mda tu mijitu mijiniazi utashangaa imegundua hata vyombo vya kwenda kutua kwenye Sayari ya Jua pamoja na joto lake lote![]()
Semi | Tesla
Tesla Semi is a fully electric semi truck with active safety features, massive range and a spacious interior designed for maximum visibility.www.tesla.com
Ni kweli ni expensive kutokana na technolojia iliyopo sasa. Who knows mbeleni kuna nn?usishangae ukaambiwa planet Mars au Venus jamaa wamegundua mamilioni ya Tani za madini ya uranium watakuwa wanapeleka shato huko kwenda kuchuku mzigo na kurudi..wanasema wenyewe sky is not the limit.Your imagination isNuclear resources ndio zitaisha mapema sana maana hizo zipo kidogo ardhini kuliko hata mafuta. Na kitu kingine teknolojia ya nyuklia ni ghali kupita maelezo kusema watai'deploy' kwenye meli na ndege za kibiashara hicho kitu hakiwezekani
Ngoja tuone hiyo technology mkuu tusubirie au una preliminaries tayari?
Meli zinatumia tonnes zaidi ya mia mbili za mafuta kwa siku sasa utaweka betri gani maana hata hao wazungu wanakuambia basis yao ya kukacha combustion engines ni sababu ya uchafuzi wa hali ya hewa
Halafu tambua, motor za umeme zinatumia grease kidogo sana na hazitumii oil, pia transmission zake ni zile za CVT yaani Cable/ belt continuously variable transmission, haitumii gear box lenye magia, hivyo hazitumii oil pia
Ni 6000MW at full potentialNilisikia ni MW 2100 leo Zimekua 6000!
Everybody would ride indeedIf wishes were horses..