Jamani this is serious, nchi tajiri za Kiarabu kuwa ombaomba Afrika by 2030

Jamani this is serious, nchi tajiri za Kiarabu kuwa ombaomba Afrika by 2030

Hivyo ulivyotaja ni 0.0000001% ya kiasi cha mafuta kinachotumika duniani at any given time

We kweli umo ndani ya yai nawala hufahmu juu masuala ya mashinary mechanisim, nadhani mashine kubwa ulio wahi kuiona na kuifahamu toka kuzaliwa ni 4stroke mashine, ndio maana unakuja na hivyo viasilimia vyako.
 
Sasa kama unalijua hilo kwanini Magufuli anapojisikia uchungu juu ya hilo na kuamua kuanza kujenga bwawa la Stiegler's mnaanza kupiga kelele za mazingira? Ni kweli tumechelewa, ila its never too late, JPM aachwe afanye kazi yake
We mmama unaamini kuwa Magu ana uchungu na nchi hii? Angetumia mabilioni kujenga Airport Chato? Hiyo Stieglers, SGR na maeropleni ndivyo vichaka alivyoviona vya kuchukilia chake mapema kama walivyofanya watangulizi wake na vichaka walivyotumia!!
 
Huu ni Upumbavu. Yaani wakizungumziwa waarabu we unaona wamesemwa waislamu. We una akili hata kidogo kweli? Unajiona wewe hapo tayari ni mwarabu sababu ni mwislamu.hii mnafundishwa wapi hii? Mnapoambiwa shule ni muhimu hamwelewi matokeo yake hata suala dogo kama hili unaliingiza udini.

Mada zako nyingi unajitaidi kuzunguka mbuyu ila maudhui yako unalenga waislam sana na uislam(NADHANI UNAPATA SANA FRAHA KWA HILI) Nikukumbushe tu sijaona dini ilokamilika

Samahani kwa mawazo yangu mkuu. na ukweli nachukia udini na dini yoyote ni utumwa
 
Sipendi matapeli kabisa.Hii nchi ipo hapa kwa sababu ya watu aina hii ya mtoa mada.Kwani anapata wafuasi wengi sana kwa kuwa wengi huwa hawatumii akili vizuri.

Nakumbuka tulivyodanganywa kuhusu gas Mtwara.Yaani upambe ulikuwa hivi hivi!Tukaaminishwa kuwa gas ndio umeme wa nafuu kuliko umeme wa maji.Leo tunadanganywa tena.
 
Sipendi matapeli kabisa.Hii nchi ipo hapa kwa sababu ya watu aina hii ya mtoa mada.Kwani anapata wafuasi wengi sana kwa kuwa wengi huwa hawatumii akili vizuri
Nakumbuka tulivyodanganywa kuhusu gas Mtwara.Yaani upambe ulikuwa hivi hivi!Tukaaminishwa kuwa gas ndio umeme wa nafuu kuliko umeme wa maji.Leo tunadanganywa tena.


Sent using Jamii Forums mobile app
kwa bahati mbaya hajapata mfuasi hata mmoja.... huko alipo uso umemshuka kama kafumaniwa na mkwewe, lol.

Eti waarabu watakua omba omba Africa, wazungu watawalamba miguu watanzania kuomba Uranium.

Very pathetic.
 
Mkuu umesahau Rushwa na Mikataba mibovu tunaweza ambulia mifupa tuu.
 
Uvembewe vyote lakini usivembewe maharage akili hufubaa na mashuzi yake haya vumiliki, mkuu umebugi step kama kuvembewa kwako kumeamsha ndoto za nyegezi kuwa utapata watoto wa kiarabu sinza heri utafue sabani ya kujichuwa mapema,
Kwanza ondowa maradhi akilini kuwa ipo siku ulimwenguni mafuta yatakosa soko futa ujinga huwo sababu hakuna mtambo wowote ule ulimwengini utafanya kazi bila kuhitaji mafuta hata huwo umeme hupozwa kwa mafuta,
Pili usifikirie waarabu wakousingizini na kuota ndoto za mcahana kama waafrika, kwanza jiuulize hiyo stiegler's gorge mjenzi wa bwawa hilo ni nani ? Ukipata jibu ndio utajuwa muarabu ni nani
Sasa jibu hoja kama ilivyo na sio kuleta mipasho ya kidemu demu hapa. Mkandarasi kuwa mwarabu inabadilisha vipi hoja kwamba wazalishaji wa kiarabu wa mafuta watakua omba omba wa chakula Afrika baada ya dunia kuanza kutumia magari ya umeme na kuachana na nishati ya mafuta? Kusema hata vifaa vya umeme hutumia mafuta ni sawa na kusema bahari ikianza kukauka tutaujaza kwa kutumia ndoo za kubeba kichwani, absolute bogus shit!
 
Stiegler's gorge ndio kinga pekee ya uhakika iliyobaki
 
No wonder why jamaa wameshika kasi kuwa Karibu na makoloni Yao ya zamani.

Hizi kelele za kudai Zanzibar itoke katika Muungano Nina uhakika hazitokani na matakwa ya wazawa sasa naanza kukubaliana na wasiwasi wangu nani yupo nyuma ya Hilo jambo.
 
fransis the don is not very smart in his head,IT WONT HAPPEN IN YOUR LIFETIME
 
Hivi uranium hujui kama hatuiimiliki tena ushasikia mkuru anaizungumzia wapi
 
Back
Top Bottom