Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,265
- 4,735
Mleta mada anaweka mbwembwe nyingi lakini kuna somewhere ana hoja:Mada zako nyingi unajitaidi kuzunguka mbuyu ila maudhui yako unalenga waislam sana na uislam(NADHANI UNAPATA SANA FRAHA KWA HILI) Nikukumbushe tu sijaona dini ilokamilika
Samahani kwa mawazo yangu mkuu. na ukweli nachukia udini na dini yoyote ni utumwa
Personally nimeshuhudia Finland wametengeneza windmill ya new technology yenye uwezo wa kuzalisha umeme mwingi hata kwenye upepo mdogo. personally niliwauliza watengenezaji pamoja na mamlaka zilizowezesha financing ya hiyo project kuwa kwanini such an expensive project wakati hawana shida ya power(kwasasa wanatumia nuclear),
walijibu kuwa wanahitaji more cleaner energy