Jamani tuache huu ushamba

Jamani tuache huu ushamba

Ungemchunia tu mwanzo mwisho, mpaka mnashuka kwenye ndege mkuu
 
Hii tabia ya watu wakipanda ndege wanajifanya wao ni wao, wanabadili lugha na kuongea kiingereza na kujifanya ni wataalamu wa ndege kwa kuelezea ndege inavyoruka, inavyokimbia na cha kumchukua za ni kuanza kuelezea jinsi walivyosafiri nchi mbalimbali duniani na kusifia viwanja vya ndege vya nchi hizo.

Ushamba mtupu, hebu tuache mambo haya!
Hahahaha..... si afadhali hao wanaongea kirengesa, mimi hua naongea kilugha tu. Sitaki ujinga
 
Back
Top Bottom