ivi inawezekana mada ikabadilika na kuwa ivyo?bwa chuchu acha izo.tupatane sasa na wenzetu toka team anakonda na sisi wa team binamu peace and love! Mambo yale yashaisha si unajua ili burdani inoge ni lazim mambo kama yale yawepo ni sawa na watani wa jadi!natumai nao wataelewa mana nawajua ni wastaarabu ni basi tu upenzi uliwachukua kama sisi ulivyokuwa umetuchukua!mabomu yamerushwa na clouds kuua wachadema. Acha wafe tu.
marichui umenichekesha sana .kwanza kabla sijakujibu ivi unavyojiita ilo jina marichuy je u bomba kama mwenyewe,mana nina kaka atafuta mchumba....anyway...wewe ndo ulikuwa hujui mabomu kama yametokea kule na kama ujuavyo sio kila mtu ana interest na siasa za bongo kwa kuogopa kuzeesha uso so angalau nimewajuza baadhi ya watu! Hujambo lakini?ndo maana kuna celebrities forum na jukwaa la siasa....
Sasa wewe heloo naona ulikuwaga unalala na kuamkia
huku tu!!!!!!!!!
Atleast team anaconda wamekufungua macho kwamba
kuna upande wa pili wa dunia
Duuuu!nimecheka sana!ivi kweli eeeh,muulize Bwa Nchuchu yeye na jukwaa la SIASA ni Damudamu ,wewe jukwaa lako ni lipi ambalo ukiamka ni lazima ufungue hata ukiwa job?mi napenda sana hii celebrity huchokii raha tu!sie wenzio huwa tunaingia kote kote. kukaa kule sana huchelewi kufa na presha.
marichui umenichekesha sana .kwanza kabla sijakujibu ivi unavyojiita ilo jina marichuy je u bomba kama mwenyewe,mana nina kaka atafuta mchumba....anyway...wewe ndo ulikuwa hujui mabomu kama yametokea kule na kama ujuavyo sio kila mtu ana interest na siasa za bongo kwa kuogopa kuzeesha uso so angalau nimewajuza baadhi ya watu! Hujambo lakini?
Duuuu!nimecheka sana!ivi kweli eeeh,muulize Bwa Nchuchu yeye na jukwaa la SIASA ni Damudamu ,wewe jukwaa lako ni lipi ambalo ukiamka ni lazima ufungue hata ukiwa job?mi napenda sana hii celebrity huchokii raha tu!
mie kule mapenzini ndo sanasana. c unajua mapenzi yana run dunia. nikitoka huko ndo siasani na huku celebrity.
uwage unaenda na jukwaa la siasa nchi itakuja kulipuliwa we uko bize kule mapenzini